Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ i miss those areas... dah kuna ng'wanangwa!.. kanzega,dah raha sana jaman..mm dec nawish kwenda aisee nikacheke na wajomba zangu

Ukitaka u enjoy vituko vya Wasukuma basi safiri safiri kidogo huko Usukumani. Panda mabasi...mfano kutoka Shinyanga kwenda Lamadi....Shinyanga kwenda Bariadi, nk.

Kuna kila aina ya vituko humo!

Unakuta huyu anakula michembe, mwingine kafungasha mayai ya kuchemshwa halafu anakukaribisha! Mwingine unakuta kuna joto kweli lakini mwenzio kakuvalia mkoti mkubwa na kichwani katinga boshori huku anakula soseji halafu hapo hapo ananuka pombe [si ajabu alilala kwenye klabu ya pombe za kienyeji]....

Ni drama mwanzo mwisho. Wasukuma wanafurahisha sana.
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŽπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Žau upande treni..yan mm sijuagi kujibana huwa nachekaaaaaaaaaaa hap mwanza mjini tu nikifika huwa nachekaaa muda wote mm nacheka.. yes upande mabus yamechokaaa.. hahaha au ukutane nao hotelin..lazima ucheke.. hili kabila jaman nalipenda kwasabb siishi hamu ..
alafu WAJUAJIII
 

Nawapenda wasukuma siyo wachoyo wa chakula

Niliwahi kusafiri nao kwenye train aisee jamaa alikua ananunua kila kinachoingia mdomoni mpaka mke wake akakasirika
 
Ukiachana na cancer... Another silent killer ni mapenzi
 
Blood pressure hiyo ndugu. Jina lake la utani ni silent kiler. Inakudondosha saa yoyote na mahali popote. Zifahamu namba zako za bp, ile ya juu na ile ya chini. Kama ziko kidenja denja anza dawa za kila siku utaishi mda mrefu sanaa. Punguza sana chumvi ktk menu yako. Salt is the devil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…