Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Hellooo....mimi ni investor kutoka Ikungulyabashashi, Simiyu....

Naomba kuongea na Joyce...

Aaahahahahahahaahahahahha nimetamka lile neno lileee eeehh nimelitamka hehehehehhehee

Joyce Dr. Shika..... Ooh ngoja nikuitie useme naye, bi. Joy, kuna muwekezaji hapa kutoka Bariadi.... ( hivi asili ya neno Bariadi ni baridi?) Kwanza maana yake ni nini?

Tafadhali naomba usubiri punde utaunganishwa kuongea na bi Joyce Dr. Shika Mashilongo hahahahahhahahahahaaaa.

USNESCO hawajaanza kufanya yao? Maana kuna mahali kila baada ya nusu saa muamala unarudishwa na kuanza upya....
 
Ikungulyabashashi ipo kweli. Ipo Simiyu.

Na ndo nilipo hapa sasa hivi.

Kuna ingine ipo Shinyanga inaitwa Bhugimbagu!

Hahaha majina mengine ya Kisukuma huchekesha sana.

😂😂😂😂😂 i miss those areas... dah kuna ng'wanangwa!.. kanzega,dah raha sana jaman..mm dec nawish kwenda aisee nikacheke na wajomba zangu
 
Natamani kufia usingizini
Wala usipate tabu koka mkaa wako vizuri ndani funga kadirisha tu. asubuhi tunakoka majungu ya mchele wakati tukihuzunika kidogo ila baada ya wiki tutakusahau kama Masogange alivyosahaulika kwenye nyuso za dunia.😎😎😎😎😎
 
Hello JF,

Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...

Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...

Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......

Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kifafa
 
Wala usipate tabu koka mkaa wako vizuri ndani funga kadirisha tu. asubuhi tunakoka majungu ya mchele wakati tukihuzunika kidogo ila baada ya wiki tutakusahau kama Masogange alivyosahaulika kwenye nyuso za dunia.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Hiyo ni kujiua
Elewa mada basi
 
Back
Top Bottom