Sina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.
Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.
Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.
Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.
Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.
K' Matata.