Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Mkuu unataka kutuambia kuwa mtu akilala nafsi huuacha mwili, hafu inaenda kujoin na watu wengine huko , na inaweza kukamatwa na kuwekwa lupango ya huko, basi kama ndo hivyo wanaochelewa kuamka huenda wanakuwaga na misala ya kuwekwa sero.

Sio tuu ukilala, ukilala na kutoa ndoto. Kumbuka kuna ambao wanalala bila kuota ndoto.

Ndio maana wazee wa zamani walikuwa wanaambiwa watu wavivu kuamka au wanaochelewa kuamka au wanaopenda kulala kuwa mtakufa mapema sababu ya kupenda kulala.

Na baadhi ya wazee wa zamani pia walisema kulala ni nusu ya kifo maana unaweza usiamke.

Wanyamwezi tunamsemo tunasemaga, "Uziku Mwaka". Igholoo.
 
Sina taaluma ya u tabibu ila ntajarbu kuelezea kwa uelewe wangu.

Presha yaani msukumo wa damu kuwa mkubwa au mdogo kuliko kawaida, mishipa hupasuka na mtu kufia usingizini.

Msongo wa mawazo, watu wa nje hamjui na hajawahi mwambia mtu kinachomsumbua siku ya siku anakufa nacho moyoni ndani ya njozi.

Ukikamatwa huko kwenye ndoto yaani ukiwa kwenye ndoto halafu ndani ya ndoto mtu akakushikilia au kuzuia usistuke kutoka kwenye ndoto na kurudi duniani au kwenye mwili au kuamka ndo unapitiliza ikifika asubuhi tayari maiti. Wakati hukuwa na ugonjwa wowote ule.

Internal organs au viungo muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu kufeli ghafla sababu ya kadha wa kadha, mfano mapafu yakokorofisha humalizi sekunde 5 usingizini hukohuko, moyo, Figo zote zikifeli, in likifelij ghafla nakadhalika nakadhalika.

K' Matata.
Pia kwa wale wapenda ngono sana pia hufa ghafla
 
Ukisha sema kulala ni nusu ya kufa

Huwa nakumbuka kifo cha my mama yeye alikufa akiwa amelala iyo ilitokea baada ya kufanya usafi nyumba nzima baada ya hapo akamwambia mzee ngoja apumzike kidogo huo ndio ulikuwa mwisho wa mama

RIP Mama
Sio tuu ukilala, ukilala na kutoa ndoto. Kumbuka kuna ambao wanalala bila kuota ndoto.

Ndio maana wazee wa zamani walikuwa wanaambiwa watu wavivu kuamka au wanaochelewa kuamka au wanaopenda kulala kuwa mtakufa mapema sababu ya kupenda kulala.

Na baadhi ya wazee wa zamani pia walisema kulala ni nusu ya kifo maana unaweza usiamke.

Wanyamwezi tunamsemo tunasemaga, "Uziku Mwaka". Igholoo.
 
Kuna vifo ni mystery.
Huumwi kitu ila unakata moto na hata postmotum haionyeshi kitu.yaani uko intact kabisa ila unazima kama taa vile

Ni kweli mkuu,mie nashangaa kwa nini wengine wafe pain free na wengine km wa cancer wajione wanavyokufa kifo cha mateso?
 
Ukisha sema kulala ni nusu ya kufa

Huwa nakumbuka kifo cha my mama yeye alikufa akiwa amelala iyo ilitokea baada ya kufanya usafi nyumba nzima baada ya hapo akamwambia mzee ngoja apumzike kidogo huo ndio ulikuwa mwisho wa mama

RIP Mama

Aiseeeh, pole sana kwa kuondokewa na bi mkubwa. Mungu amrehemu huko aliko ampunguzie adhabu ya kaburi na apumzike kwa amani.

Wengine huwa wanaita peace death, shida hujaungwa kwa waswahili iwapo mchana wake au jana yake walisemeshana na mtu wakajibizana hadharani kuwa utakiona tuone kama utaendelea kuringa na kadhalika na kadhalika. ..... lazima ukaisaidie polisi kwa maneno yako kumbe mtu siku yake ilikiwa imefika.
 
Wakati mwingine ni kupaliwa na chakula,hususan wali...minishaponea chupuchupu mara mbili nashituka ghafla usingizini na kukuta pumzi ikikatakata
Hahaha wewe uliwahi,huwezi kuwa shuhuda mzuri tunataka wale walio kufa kabisa, watuambie ilikuwaje?!
 
Pole sana ila mchango wako ulikuwa mhm sn, Mie la nne mkoloni, sasa nmesitaafu uwalimu wangu nakula pension.

Nipo nafatilia darasa la maradhi yanayotumaliza sisi wasitaafu

Ooh kumbe wewe ndo ulisomaga mido skuuli. ......

Walijua nikishika kipara sauti naharibu mdahalo wakaamua kunipa ukatibu wa fasta fasta.
 
Natamani kufia usingizini
Usiseme ivyo utawapa shida sana ndugu zako utakao waacha dunia

Maswali yatakuwa mengi kuliko majibu kira mtu atasema la kwake ila kama ur family is stronger bass inaamin iyo ni kazi ya molaah
 
Back
Top Bottom