Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nipo ok
Sema nimechoka tu!
Kifo hakina mapema ujue
duh mi nisifw mapema tu kwakweli tuchoke tu bt tuendelee kupmua na wanetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo ok
Sema nimechoka tu!
Kifo hakina mapema ujue
😂😂😂😂😂 i miss those areas... dah kuna ng'wanangwa!.. kanzega,dah raha sana jaman..mm dec nawish kwenda aisee nikacheke na wajomba zangu
Ukitaka u enjoy vituko vya Wasukuma basi safiri safiri kidogo huko Usukumani. Panda mabasi...mfano kutoka Shinyanga kwenda Lamadi....Shinyanga kwenda Bariadi, nk.
Kuna kila aina ya vituko humo!
Unakuta huyu anakula michembe, mwingine kafungasha mayai ya kuchemshwa halafu anakukaribisha! Mwingine unakuta kuna joto kweli lakini mwenzio kakuvalia mkoti mkubwa na kichwani katika boshori huku anakula soseji halafu hapo hapo ananuka pombe [si ajabu alilala kwenye klabu ya pombe za kienyeji]....
Ni drama mwanzo mwisho. Wasukuma wanafurahisha sana.
Sawa dada.Hiyo ni kujiua
Elewa mada basi
What are trying to explain mkuu... Kwamba high blood pressure then iwe ya kushuka .... Sema blood pressure inaweza kuwa low au high
Ukitaka u enjoy vituko vya Wasukuma basi safiri safiri kidogo huko Usukumani. Panda mabasi...mfano kutoka Shinyanga kwenda Lamadi....Shinyanga kwenda Bariadi, nk.
Kuna kila aina ya vituko humo!
Unakuta huyu anakula michembe, mwingine kafungasha mayai ya kuchemshwa halafu anakukaribisha! Mwingine unakuta kuna joto kweli lakini mwenzio kakuvalia mkoti mkubwa na kichwani katinga boshori huku anakula soseji halafu hapo hapo ananuka pombe [si ajabu alilala kwenye klabu ya pombe za kienyeji]....
Ni drama mwanzo mwisho. Wasukuma wanafurahisha sana.
UsiogopeSawa dokta
Siogopi, namwogopaUsiogope
Nawapenda wasukuma siyo wachoyo wa chakula
Niliwahi kusafiri nao kwenye train aisee jamaa alikua ananunua kila kinachoingia mdomoni mpaka mke wake akakasirika
Ukiachana na cancer... Another silent killer ni mapenziHello JF,
Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...
Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...
Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......
Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kifo kizuri sana hiki...Kuna vifo ni mystery.
Huumwi kitu ila unakata moto na hata postmotum haionyeshi kitu.yaani uko intact kabisa ila unazima kama taa vile
Huu ni ufupisho wa jina tata.K’ Matata.
😁😁😁😁Ukiachana na cancer... Another silent killer ni mapenzi
Hata sijakuelewa.....
Nasubiria akueleweshe, na mimi nipate hapo kujua alimaanisha nini....🙂🙂🙂