Usijali hakuna mbaya, mengi husemwa humu na yanabakia humu humu.
Mie nna PhD ya Mahaba tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Phd yako matata sana.....[emoji6][emoji6][emoji6]
Anhaa! Ujombani huko?πππππ i miss those areas... dah kuna ng'wanangwa!.. kanzega,dah raha sana jaman..mm dec nawish kwenda aisee nikacheke na wajomba zangu
Hatari hiiππ nahene ngalo.. toleho lolo..
Anhaa! Ujombani huko?
Mkuu hapa unatuambia Wana JF au jopo la Madaktari wenzako?Cardiovascular diseases...matabibu wataeleza dalili zake,.
Dah.... Silent killers nikajua Wanaume wanaogonga sana nyapu, lakini bila yoweHello JF,
Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...
Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...
Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......
Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
πππππππππππππ mm sitak kuhama nchi jamn khaaa ...naipenda nchi yanguππππDah.... Silent killers nikajua Wanaume wanaogonga sana nyapu, lakini bila yowe
Aisee baki, Nchi yako inakupenda pia [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sitak kuhama nchi jamn khaaa ...naipenda nchi yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee.High blood pressure inaweza kuwa ya kushuka au ya kupanda
ππππAisee.
Kuna Blood pressure (High &Low)
Niko tayari kulipia.Nakipendaaππyap..unakimanya?km hukimanyi lipia 50000/=nikufundishe..hii ni lugha ya taifa ya 2π
πππ haya utume advance kwanza 25000..πππππππ.. chagua nikupe tigopesa au airtel money..Niko tayari kulipia.Nakipendaaππ
Hahaha wewe uliwahi,huwezi kuwa shuhuda mzuri tunataka wale walio kufa kabisa, watuambie ilikuwaje?!
Nimechagua unipe tigopesaπππππ haya utume advance kwanza 25000..πππππππ.. chagua nikupe tigopesa au airtel money..
ππ haya.. utume bana tena leo furahiday.. πnaenda weka heshima barπππNimechagua unipe tigopesaππ
Tangulia kabisa mahali pa kuwekea heshima zitakufuataπππππ haya.. utume bana tena leo furahiday.. πnaenda weka heshima barπππ
Tangulia kabisa mahali pa kuwekea heshima zitakufuataπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji23][emoji23][emoji41]au upande treni..yan mm sijuagi kujibana huwa nachekaaaaaaaaaaa hap mwanza mjini tu nikifika huwa nachekaaa muda wote mm nacheka.. yes upande mabus yamechokaaa.. hahaha au ukutane nao hotelin..lazima ucheke.. hili kabila jaman nalipenda kwasabb siishi hamu ..
alafu WAJUAJIII
Nadhani chumbani kweni ndio makao makuu ya BollywoodAhahahahhahahaaa acha kabisa na Dadii ndo Mahabat mwenyewe.