Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Hello JF,

Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...

Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla ni kisukari...

Madaktari wa humu tungependa kujua magonjwa mengine yanayoua ghafla na dalili zake...hatuna culture ya kupima afya zetu mpaka pale tunapoumwa ila at least tukijua dalili/ warning signs then tutajipeleka hospital......

Mods please msiipeleke Jukwaa la Afya, kule Watu wanaoenda ni wachache,[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Dah.... Silent killers nikajua Wanaume wanaogonga sana nyapu, lakini bila yowe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sitak kuhama nchi jamn khaaa ...naipenda nchi yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee baki, Nchi yako inakupenda pia [emoji1] [emoji1]
 
Njoo unifanye nami nicheke maana mwaka wa 4 sasa sijatabasamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji23][emoji23][emoji41]au upande treni..yan mm sijuagi kujibana huwa nachekaaaaaaaaaaa hap mwanza mjini tu nikifika huwa nachekaaa muda wote mm nacheka.. yes upande mabus yamechokaaa.. hahaha au ukutane nao hotelin..lazima ucheke.. hili kabila jaman nalipenda kwasabb siishi hamu ..
alafu WAJUAJIII
 
Back
Top Bottom