KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 258
Mra nini tena hii,unafikiri upo Nyamongo au Tarime?
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe
Wamang'ti.Bisha nikuone ohoooo!
tuyajue makabila ya wasomi hapa tz.
1.wahaya.
2.wakerewe
tiririka na wewe
Wengi wenu mmeshindwa kufikia malengo;sio kwasababu hamtaki raha sha;ni kushindwa kujua wale wananini na sisi tuwe na nini ili tutegemeane;ukijua utawapa wengine ambao hawajakipata
Do good avoid evil.
Kama usomi wenyewe ndio huo basi siku hizi usomi ushahama kwenye kabila lenu. Siku hizi ngoma droo hapa mjini kila mtanzania now days yuko kwenye system so mzoee tu tofauti na zamani.
Jitambue chukuwa atua;sio misifa mkuu wakifanya vizuri wape eshima zao
Education can not make us all to be the leader but can make us all to tell the leader what they suppose to do.
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe
Huu ni ubwege juu ya ubwege, wewe ni Mtanzania na akili zako timamu katika hii karne hii ya 21 unaulizia kuhusu makabila? Unataka kwenda kutambika?[/B]
Kabila lako ndilo linaongoza kwa elimu TanzaniaTuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe