Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

huyo mjinga hana cha kufanya yeye hapo alpo anajua kusoma na kuandika koz sidhani kama ni mtu mwenye taaruma yake anaweza kuweka mada kama hiyo ijadiliwe na wasomi cha msingi ajitathimini kwanza then aje na mada zenye mashiko au akaazishe mada kwao ...ana bahati ningejua anako toka cha moto angekipata
 
ok tufanye kabila lake linaoongoza afu yeye ni std 4 itamsaidia nn majigambo tu yasiyo na tija stupid gal damn
 
Kama usomi wenyewe ndio huo basi siku hizi usomi ushahama kwenye kabila lenu. Siku hizi ngoma droo hapa mjini kila mtanzania now days yuko kwenye system so mzoee tu tofauti na zamani.
 
Wengi wenu mmeshindwa kufikia malengo;sio kwasababu hamtaki raha sha;ni kushindwa kujua wale wananini na sisi tuwe na nini ili tutegemeane;ukijua utawapa wengine ambao hawajakipata

Do good avoid evil.

kama wewe hujafikia malengo yako pole,endelea na huu UPUUZI wa ukabila. Jambo la msingi kuzungumzia sasa ni namna gani watanzania tunaweza kupunguza changamoto zinazoikumba elimu yetu kwa sasa ili tuweze kufikia malengo yetu kwa umoja na mshikamano, ni vipi elimu tunayoipata inatuwezesha kukabiliana na changamoto za maisha, umilikaji wa rasilimali za taifa na vitu kama hivyo. Ila kwa kuwa wewe una mental slavery endelea kuwaza kikoloni.
 
Jitambue chukuwa atua;sio misifa mkuu wakifanya vizuri wape eshima zao

Education can not make us all to be the leader but can make us all to tell the leader what they suppose to do.

kikristo chenyewe cha kuungaunga bado unasumbua,nenda ukasome english kozi wewe huu muda unaoandika utumbo hapa, ukipenda njoo hata pm mi ni grammar nitakufunza kingereza E-learning hahaa
 
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe

Huu ni ubwege juu ya ubwege, wewe ni Mtanzania na akili zako timamu katika hii karne hii ya 21 unaulizia kuhusu makabila? Unataka kwenda kutambika?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahahah lol!!!! Mwalimu alikuwa hakopeshi

Huu ni ubwege juu ya ubwege, wewe ni Mtanzania na akili zako timamu katika hii karne hii ya 21 unaulizia kuhusu makabila? Unataka kwenda kutambika?[/B]
 
Mtoa mada ni anaonyesha ni mtoto wa kike aliyekuja mjini kama dada wa nyumbani..sasa baada ya kuosha vyombo kusugua masufuria miaka mingi mfululizo ndio maza hausi akamzawadia kaelimu ka QT ambako amehangaika nako sana na kwa neema za muumba hatimaye mwaka huu ametoboa...na mwaka huu pia kabahatika kupata chuo pale the Global College of Hotel Management..
 
Back
Top Bottom