gambosh1972
Senior Member
- Oct 30, 2013
- 119
- 22
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
Zamani wahaya walikuwa wakiongoza kutoa wasomi wengi kuliko makabila mengine enzi za ukoloni na wakati wa Nyerere wakati wa elimu ya bure.Sasa hivi wako nyuma sana tena sana wahaya wa sasa starehe mbele elimu baadaye!
Wachaga kutokana na biashara kuingiliwa kila kona na makabila mengine kuamka wamekimbilia kwenye elimu na wanasoma kufa mtu.Ukienda hata fani za ovyo ovyo tu utakutana na mchaga mwenye PHD.Wamewabwaga wahaya kwa mbali mno.
Wahaya wana akili ila starehe za kuanza mapema zinawaponza wale wa zamani walikuwa na maadili sana nafikiri kushika dini sana ya kikatoliki wakati wa Kardinali Rugambwa kuliwasaidia kusoma bila kuingiliwa na mzuka wa kupenda starehe hadi walipomaliza madgriii yao.
Toka kafa Kardinali Rugambwa maadili ya wahaya na usomi umekufa ni starehe kwenda mbele after all wenyewe wanasema maisha yenyewe mafupi.Kamua.Usipopata tapeli.Kabila lililosifika kwa Usomi sasa linasifika kwa utapeli.
hahahaaah! basi mi nikajua uta likeAcha ujinga
Mtoa mada ni anaonyesha ni mtoto wa kike aliyekuja mjini kama dada wa nyumbani..sasa baada ya kuosha vyombo kusugua masufuria miaka mingi mfululizo ndio maza hausi akamzawadia kaelimu ka QT ambako amehangaika nako sana na kwa neema za muumba hatimaye mwaka huu ametoboa...na mwaka huu pia kabahatika kupata chuo pale the Global College of Hotel Management..
We na mleta mada ni div 5 tofauti yenu shule tofautiZamani wahaya walikuwa wakiongoza kutoa wasomi wengi kuliko makabila mengine enzi za ukoloni na wakati wa Nyerere wakati wa elimu ya bure.Sasa hivi wako nyuma sana tena sana wahaya wa sasa starehe mbele elimu baadaye!
Wachaga kutokana na biashara kuingiliwa kila kona na makabila mengine kuamka wamekimbilia kwenye elimu na wanasoma kufa mtu.Ukienda hata fani za ovyo ovyo tu utakutana na mchaga mwenye PHD.Wamewabwaga wahaya kwa mbali mno.
Wahaya wana akili ila starehe za kuanza mapema zinawaponza wale wa zamani walikuwa na maadili sana nafikiri kushika dini sana ya kikatoliki wakati wa Kardinali Rugambwa kuliwasaidia kusoma bila kuingiliwa na mzuka wa kupenda starehe hadi walipomaliza madgriii yao.
Toka kafa Kardinali Rugambwa maadili ya wahaya na usomi umekufa ni starehe kwenda mbele after all wenyewe wanasema maisha yenyewe mafupi.Kamua.Usipopata tapeli.Kabila lililosifika kwa Usomi sasa linasifika kwa utapeli.
We na mleta mada ni div 5 tofauti yenu shule tofauti
Zamani wahaya walikuwa wakiongoza kutoa wasomi wengi kuliko makabila mengine enzi za ukoloni na wakati wa Nyerere wakati wa elimu ya bure.Sasa hivi wako nyuma sana tena sana wahaya wa sasa starehe mbele elimu baadaye!
Wachaga kutokana na biashara kuingiliwa kila kona na makabila mengine kuamka wamekimbilia kwenye elimu na wanasoma kufa mtu.Ukienda hata fani za ovyo ovyo tu utakutana na mchaga mwenye PHD.Wamewabwaga wahaya kwa mbali mno.
Wahaya wana akili ila starehe za kuanza mapema zinawaponza wale wa zamani walikuwa na maadili sana nafikiri kushika dini sana ya kikatoliki wakati wa Kardinali Rugambwa kuliwasaidia kusoma bila kuingiliwa na mzuka wa kupenda starehe hadi walipomaliza madgriii yao.
Toka kafa Kardinali Rugambwa maadili ya wahaya na usomi umekufa ni starehe kwenda mbele after all wenyewe wanasema maisha yenyewe mafupi.Kamua.Usipopata tapeli.Kabila lililosifika kwa Usomi sasa linasifika kwa utapeli.
Elimu haina mwisho.... tafadhali msijibague kimakabila !! Msomi na asiye msomi wote ni waTZ.Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe