Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.

Zamani wahaya walikuwa wakiongoza kutoa wasomi wengi kuliko makabila mengine enzi za ukoloni na wakati wa Nyerere wakati wa elimu ya bure.Sasa hivi wako nyuma sana tena sana wahaya wa sasa starehe mbele elimu baadaye!

Wachaga kutokana na biashara kuingiliwa kila kona na makabila mengine kuamka wamekimbilia kwenye elimu na wanasoma kufa mtu.Ukienda hata fani za ovyo ovyo tu utakutana na mchaga mwenye PHD.Wamewabwaga wahaya kwa mbali mno.

Wahaya wana akili ila starehe za kuanza mapema zinawaponza wale wa zamani walikuwa na maadili sana nafikiri kushika dini sana ya kikatoliki wakati wa Kardinali Rugambwa kuliwasaidia kusoma bila kuingiliwa na mzuka wa kupenda starehe hadi walipomaliza madgriii yao.

Toka kafa Kardinali Rugambwa maadili ya wahaya na usomi umekufa ni starehe kwenda mbele after all wenyewe wanasema maisha yenyewe mafupi.Kamua.Usipopata tapeli.Kabila lililosifika kwa Usomi sasa linasifika kwa utapeli.
 
ukweli unauma wajameni! Shumalamu waitu!
 
Kwa usomi huu wa division 5,hata wahadzabe wamo.
 
Mtoa mada ni anaonyesha ni mtoto wa kike aliyekuja mjini kama dada wa nyumbani..sasa baada ya kuosha vyombo kusugua masufuria miaka mingi mfululizo ndio maza hausi akamzawadia kaelimu ka QT ambako amehangaika nako sana na kwa neema za muumba hatimaye mwaka huu ametoboa...na mwaka huu pia kabahatika kupata chuo pale the Global College of Hotel Management..

nimeipenda hiyo
 
unaweza kukuta mtoa mada na ni mhitimu wa kidato cha nne.ama mtu mzima na familia yake.hii ndo tz yan bado unaongelea makabila dunia hii
 
East African Eagle inaonesha ni kwa kiasi gani usivoijua historia ya wahaya japo unalazimisha,kama kitu haukijui uliza basi ueleweshwe usindike kwa hisia,sasa nikuulize tu ni watu wa wapi wasiofanya starehe? lakini pia nikusaidie historia kidogo ya Mkoa wa Kagera ..kama kuna sababu basi tutaanza na matokeo ya vita ya Kagera,ajari ya MV Bk,kushuka kwa zao la kahawa na mwisho ugonjwa wa mnyauko ndo sababu kubwa lakini bado tukiwachukua na wasomi walio nje ya nchi kwa taharifa yako wahaya wasomi bado ni wen
 
Jamani mleta mada ni division 5 tumwache wa kulaumiwa ni product hizi mulugo na kawambwa wanazotupa

Na we div 5 acha kujitoa ufahamu nje ya div 5 yako
 
Zamani wahaya walikuwa wakiongoza kutoa wasomi wengi kuliko makabila mengine enzi za ukoloni na wakati wa Nyerere wakati wa elimu ya bure.Sasa hivi wako nyuma sana tena sana wahaya wa sasa starehe mbele elimu baadaye!

Wachaga kutokana na biashara kuingiliwa kila kona na makabila mengine kuamka wamekimbilia kwenye elimu na wanasoma kufa mtu.Ukienda hata fani za ovyo ovyo tu utakutana na mchaga mwenye PHD.Wamewabwaga wahaya kwa mbali mno.

Wahaya wana akili ila starehe za kuanza mapema zinawaponza wale wa zamani walikuwa na maadili sana nafikiri kushika dini sana ya kikatoliki wakati wa Kardinali Rugambwa kuliwasaidia kusoma bila kuingiliwa na mzuka wa kupenda starehe hadi walipomaliza madgriii yao.

Toka kafa Kardinali Rugambwa maadili ya wahaya na usomi umekufa ni starehe kwenda mbele after all wenyewe wanasema maisha yenyewe mafupi.Kamua.Usipopata tapeli.Kabila lililosifika kwa Usomi sasa linasifika kwa utapeli.
We na mleta mada ni div 5 tofauti yenu shule tofauti
 
What matters is how much MONEY you make EVERYDAY,UKABILA sijui PHD MBWEMBWE TUUU
 
Zamani wahaya walikuwa wakiongoza kutoa wasomi wengi kuliko makabila mengine enzi za ukoloni na wakati wa Nyerere wakati wa elimu ya bure.Sasa hivi wako nyuma sana tena sana wahaya wa sasa starehe mbele elimu baadaye!

Wachaga kutokana na biashara kuingiliwa kila kona na makabila mengine kuamka wamekimbilia kwenye elimu na wanasoma kufa mtu.Ukienda hata fani za ovyo ovyo tu utakutana na mchaga mwenye PHD.Wamewabwaga wahaya kwa mbali mno.

Wahaya wana akili ila starehe za kuanza mapema zinawaponza wale wa zamani walikuwa na maadili sana nafikiri kushika dini sana ya kikatoliki wakati wa Kardinali Rugambwa kuliwasaidia kusoma bila kuingiliwa na mzuka wa kupenda starehe hadi walipomaliza madgriii yao.

Toka kafa Kardinali Rugambwa maadili ya wahaya na usomi umekufa ni starehe kwenda mbele after all wenyewe wanasema maisha yenyewe mafupi.Kamua.Usipopata tapeli.Kabila lililosifika kwa Usomi sasa linasifika kwa utapeli.

Hizo fani ndio zipi?
 
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe

Wewe unachuki na wachaga edit hapo toa wakerewe weka wachaga wengine tutaendelea kuwataja
 
Back
Top Bottom