Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mtulie sasa kwani mnawashwa kitu gani aisee, kama ni mbovu si mfurahi amesajiliwa mbovu ili mpate unafuu povu la nini?Wakuu,
Yanga leo wametambulisha top striker kutoka Zambia Kennedy Musonda ambaye pia ndio kinara wa magoli ligi ya Zambia...
Kama diala alivyopigwa ule mtoboMliongea Mengi sana wakati Aziz K anatua jangwani.Amepelekea muwa na mgogoro usioisha na magoli kipa wote wa NBC PREMIER LEAGUE. Muda ni mwalimu mzuri.
Usifananishe Diara na vitu vya kijingaKama diala alivyopigwa ule mtobo
HahahaView attachment 2480214
Nyama Nyama kidogo
Tuliza presha wewe. Mchezaji hajacheza hata mechi moja kwenye ligi yetu, tayari hofu imekujaa!Wakuu,
Yanga leo wametambulisha top striker kutoka Zambia Kennedy Musonda ambaye pia ndio kinara wa magoli ligi ya Zambia.
Wapinzani wetu wamesajili mshambuliaji hatari na mbadala wa Fiston Mayele lakini ni vizuri tuwakumbushe kuwa huyu Musonda ni msimu huu ndio aliofanya vizuri na hatuwezi hata kujaribu kumfananisha na Moses Phiri ambaye amekuwa mmoja wa vinara wa magoli wa ligi ya Zambia mara kadhaa.
Sasa mashabiki wa Kibongo msishangae aka floppy huyo Musonda msiamini kama mlivyofikiri kwa Kambole. Pia msipende kufananisha wachezaji kienyeji, Moses Phiri si level ya Musonda hata kidogo. Phiri ni mchezaji hatari kwasasa kwenye ligi yetu na ame prove hilo tayari.
Musonda hana rekodi zaidi ya kuongoza kufunga kwenye ligi ambayo bado mbichi na tena msimu huu ndio kafanya vizuri, hana rekodi zaidi ya hii.
Uto tulieni acheni kelele nyingi na vi clip viwili tu vya Musonda visivyo na tija [emoji1787]
#nguvumoja
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Na nyinyi muongeze sasa! Au mnafikiri Kibu Dennis, Habibu Kiyombo na John Bocco; watawafikisha kokote!Ni vyema wameongez safu ya ushambuliaji
Kwani ule mjadala wa nani mkali kati ya Kibu Dennis Vs Fiston Mayele; ulishia wapi!Ukimuuliza Nabi hapa Kibu na Musonda ninavyomjua profesa Nabi... Hawezi kumuacha Kibu over Musonda!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwa kambole tule maneno yetu?Shida ni kuwa mnaanzishaga hizi nyuzi Kisha mnazikimbia baadae.
Ni mapema Sana ku conclude ulivyo conclude blaza. Ingelikuwa heri ungeliweka akiba ya maneno.
Yule blaza ako alifunguaga uzi wa kumponda Mayele Vs Kibu saa hizi hata haelewi sijui aufute sijui aseme account yake ilidukuliwa hakuwa yeye
Kuna namna nyingi Sana za kujipa moyo na kujiondolea machungu, Hakuna ulazima kujipa moyo kwa kuwaponda Yanga.
Hao uliowataja wameifanya simba kuwa timu iliofunga goli nying NBCPLNa nyinyi muongeze sasa! Au mnafikiri Kibu Dennis, Habibu Kiyombo na John Bocco; watawafikisha kokote!
Nani kawafananisha? Au unapenda tuwafananisheWakuu,
Yanga leo wametambulisha top striker kutoka Zambia Kennedy Musonda ambaye pia ndio kinara wa magoli ligi ya Zambia.
Wapinzani wetu wamesajili mshambuliaji hatari na mbadala wa Fiston Mayele lakini ni vizuri tuwakumbushe kuwa huyu Musonda ni msimu huu ndio aliofanya vizuri na hatuwezi hata kujaribu kumfananisha na Moses Phiri ambaye amekuwa mmoja wa vinara wa magoli wa ligi ya Zambia mara kadhaa.
Sasa mashabiki wa Kibongo msishangae aka floppy huyo Musonda msiamini kama mlivyofikiri kwa Kambole. Pia msipende kufananisha wachezaji kienyeji, Moses Phiri si level ya Musonda hata kidogo. Phiri ni mchezaji hatari kwasasa kwenye ligi yetu na ame prove hilo tayari.
Musonda hana rekodi zaidi ya kuongoza kufunga kwenye ligi ambayo bado mbichi na tena msimu huu ndio kafanya vizuri, hana rekodi zaidi ya hii.
Uto tulieni acheni kelele nyingi na vi clip viwili tu vya Musonda visivyo na tija [emoji1787]
#nguvumoja
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Bila kusahau Chama na Fey ikashindikana mara Chama na Aziz hadi sasa naona kama uwanja umeinama vile...Mleta Mada nyie mbumbumbu mna sahau mapema sana mlishawahi kumfananisha Kibu na Mayele, mlishawahi ku mmbeza Aziz K na Sasa mmeanza Kwa Musonda.
Muda ndio utakao wajibu sisi wengine tunasubiri Kwa hamu kujionea uwa hamchelewi kupotena na kuleta habari za Bahasha.
Msimamo unasemajeHao uliowataja wameifanya simba kuwa timu iliofunga goli nying NBCPL
Nenda page ya tanzania futbol associationMsimamo unasemaje