Ni Makosa kufikiri Musonda ni sawa na Phiri!

Wakuu,

Yanga leo wametambulisha top striker kutoka Zambia Kennedy Musonda ambaye pia ndio kinara wa magoli ligi ya Zambia...
Ndo mtulie sasa kwani mnawashwa kitu gani aisee, kama ni mbovu si mfurahi amesajiliwa mbovu ili mpate unafuu povu la nini?

Mlipokuwa mnamtaka mkazidiwa kete amkujua kama ni mbovu, Ngada fc mna katabia ka kijinga ka kuwa na wivu wa kike ata kama ni mwanaume ovyo kabisa nyie
 
Mliongea Mengi sana wakati Aziz K anatua jangwani.Amepelekea muwa na mgogoro usioisha na magoli kipa wote wa NBC PREMIER LEAGUE. Muda ni mwalimu mzuri.
Kama diala alivyopigwa ule mtobo
 
Tuliza presha wewe. Mchezaji hajacheza hata mechi moja kwenye ligi yetu, tayari hofu imekujaa!
 
Kwa kambole tule maneno yetu?
 
Sisemi neno nachojua n suala la muda mleta mada atajionea mwenyewe

Kibu denga mchezaj Bora wa mwez mechi za mazoezini amepata zawadi
Amewashinda bocco na saidoo
 
Mleta Mada nyie mbumbumbu mna sahau mapema sana mlishawahi kumfananisha Kibu na Mayele, mlishawahi ku mmbeza Aziz K na Sasa mmeanza Kwa Musonda.

Muda ndio utakao wajibu sisi wengine tunasubiri Kwa hamu kujionea uwa hamchelewi kupotena na kuleta habari za Bahasha.
 
Nani kawafananisha? Au unapenda tuwafananishe

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Bila kusahau Chama na Fey ikashindikana mara Chama na Aziz hadi sasa naona kama uwanja umeinama vile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…