Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

Kufa kwa CDM ni matamanio ya kila mwanaccm.

Dhalimu hayupo, una wasiwasi gani?

2025 Mbowe ataapishwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kushinda uchaguzi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Atakuteua uwe waziri wa elimu japo najua una mavyeti feki.
 
Nani atakuwa na muda wa kushiriki uchaguzi wa kihanithi? Kama tume ya uchaguzi na katiba ni hii hii, usitegemee wanaume tunaojitambua kushiriki huo ukhanithi. Labda yatokee machafuko lakini sio kwenda kupanga mstari boss.
 
Nimecheka kijinga Sana, Kwamba kuoji sio kupenda nchi? Na ndo umejipanga hivi kuja pangua hoja za mtoa mada, nimecheka Kama mazuri,
Kwa mtu kama wewe kucheka si hoja, kwa sababu sioni mchango wowote wa maana uliouweka hapo kuonyesha utofauti wa hoja zako na zangu.

Kwa hiyo endelea kucheka, watu kama nyinyi ni wengi sana ndani ya nchi hii, ndiyo maana tunadidimia.
 
Nani atakuwa na muda wa kushiriki uchaguzi wa kihanithi? Kama tume ya uchaguzi na katiba ni hii hii, usitegemee wanaume tunaojitambua kushiriki huo ukhanithi. Labda yatokee machafuko lakini sio kwenda kupanga mstari boss.
Kheee! Kwani dhalimu si ameshakufa yuko motoni anateketea?

Iweje Mbowe asiwe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania angali mtesaji hayupo?

Lazima ashinde. Si ndio? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Kama umetumwa mwambie alie kutuma hawezi shindana na Mungu. Lazima iwe tu... Yani binafsi nataka kuona kati ya Mungu na wanadam nani mwenye nguvu. End
 
Kwa mtu kama wewe kucheka si hoja, kwa sababu sioni mchango wowote wa maana uliouweka hapo kuonyesha utofauti wa hoja zako na zangu.

Kwa hiyo endelea kucheka, watu kama nyinyi ni wengi sana ndani ya nchi hii, ndiyo maana tunadidimia.
Mkuu unanionea bure, binafsi mtoa mada nimeelewa alichoandika , nasubili mpangue hoja zake, 😂
 
Hizo hoja unazoziona wewe mimi sizioni; kwa hiyo usitegemee kuona upanguzi wake.

Pengine ingefaa umsaidie kuzieleza hizo unazoziona wewe kama hoja, nasi tuzielewe kama ulivyozielewa wewe na kama zinahitaji kupanguliwa tutazipangua tu.
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Vipi kubusu mama ako anauhalali wa kuwa raisi ili hali anaruhusu watu wajipimie wanavyotaka? Kweli nyani haoni kundule lake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hizo hoja unazoziona wewe mimi sizioni; kwa hiyo usitegemee kuona upanguzi wake.

Pengine ingefaa umsaidie kuzieleza hizo unazoziona wewe kama hoja, nasi tuzielewe kama ulivyozielewa wewe na kama zinahitaji kupanguliwa tutazipangua tu.
😂😂 Hatari Sana, naona mtoa mada katumia spana no kubwa Sana ,hii ndo jf Bwana🤣 unapigwa spana mpaka hoja hazionekani
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
KIFUPI, makamu wa rais anateuliwa na rais hivyo kufaa au kutofaa kunategemea na mtazamo wa rais siyo mtazamo wa kila mwananchi. Pia kwa vigezo ulivyovitaja sioni mfanano na makosa ya SABAYA.
Mimi naona una chuki binafsi na makamu wa rais au ulikuwa na mtu wako moyoni ambaye hakupewa nafasi hiyo.
Pole Sana, duniani hatuishi kama tunavyotaka ila tunaishi kwa mujibu wa muktadha unaojitokeza.
 
Hoja hapa ni Kwamba makam ni msafi au sio msafi katika utumishi wake, mtoa mada anasema sio msafi wewe unasemaje, simple and clear
Mimi nimesema tuhuma za mleta hoja hazina miguu, sasa kwa nini hukunielewa hivyo hadi ikalazimu tufikie hapa.

Wewe umeona popote alipotoa hoja inayosimama yenyewe bila ya kuonyesha kuwa mleta mada anapigania maslahi aliyovurugiwa?
 
Ebu jaribu pitia tena nini amekiandika kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom