Sasa unahoji uwezo wangu wa kuelewa ninachokisoma na kukijibu au siyo?Ebu jaribu pitia tena nini amekiandika kwanza mkuu
Mkuu sio kwamba napima kiwango Chako Cha uelewa, ila kupitiwa kupo pia , naomba usinitafakari vibaya, binafsi ni mtu napenda Sana jibizana na mtu kiungwana ,unaweza jaribu pitia post zangu,Sasa unahoji uwezo wangu wa kuelewa ninachokisoma na kukijibu au siyo?
Ninapoamua kujibu andiko hapa jukwaani, ujue nimekwishalielewa ipasavyo.
Hili unalong'ang'ania hapa ni kwamba huyo mleta mada anamaslahi katika mambo anayomlaumu juu yake Makamu wa Rais.
Tumejadili kwa kiungwana hadi hapa tulipofikia, lakini sitegemei uhoji uelewa wangu tena juu ya ninayoyaeleza.
Basi tuyamalize hapa hapa.Mkuu sio kwamba napima kiwango Chako Cha uelewa, ila kupitiwa kupo pia , naomba usinitafakari vibaya, binafsi ni mtu napenda Sana jibizana na mtu kiungwana ,unaweza jaribu pitia post zangu,
Na raisi wako ndie alikuwa makamu, kwa hiyo kumsema Mpango pekee yake ni kumuonea.Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.
Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?
Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Tujifunze kua na ngozi ngumu kama ya Kinyata junior.Filipo hafai Wala halina ubishi
Hakuna mwana Ccm mwenye kuifahamu Ccm yake ,atakae hoji umakamu wa Rais wa bwana huyo. Waliyo muweka walifanikiwa lengo lao kwa [emoji817].Ccm ukiwabinya kwenye mshono wanakuaga wakali Kama simba au faru, mtoa mada amehoji Kama sio kueleza , Sasa nyie CCM badala ya kumjibu kwa hoja, mko kutukana , kukebehi ili mtoa mada atoke kwenye reli.
JIBUNI POINT ZAKE KWAMBA ,Je? Mh makam, alistahili cheo hicho Kama ndio shusha hoja zako maana mtoa mada amekataa Kwamba hakustahili tokana na hoja zake,
Unamuachaje aliyekuwa makamu wa rais?Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.
Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?
Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Una ka point lakini!Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.
Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?
Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
When it comes to POWER, Makamu wa Rais ni mkata utepe, kushughurika na mazingira and a bit Muungano. Waziri anayo mamlaka ambayo automatically yanayo impact moja kwa moja kwa umma.
Kwani awamu ya tano na ya sita ni serikali mbili zinazotokana na vyama viwili tofauti?.Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.
Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?
Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Dhalimu wako hayupo na mungu wako alikuondolea yule muovu sasa kwanini usishiriki uchaguzi?Nani atakuwa na muda wa kushiriki uchaguzi wa kihanithi? Kama tume ya uchaguzi na katiba ni hii hii, usitegemee wanaume tunaojitambua kushiriki huo ukhanithi. Labda yatokee machafuko lakini sio kwenda kupanga mstari boss.
Dhalimu wako hayupo na mungu wako alikuondolea yule muovu sasa kwanini usishiriki uchaguzi?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe mbadala acha chuki nakigoma jamaa Mara kadha hakutaka nguvu na alitamani kujiudhuru lakini kunamtu alikuwa amemkalia kooni kama angefanya hivyoHuyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.
Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.
Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?
Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Kwani mungu wako si amekuondolea mtawala muovu? Sasa wawasi wa nini?Kwa tume na katiba hii hakuna uchaguzi bali ukhanithi.