Mmmmmmhmn huu ushauri umetoa wapi kwanza tuanzie hapo?!Watoto wa kike kuolewa wakiwa hawana kipato chao...unamaliza chuo unaolewa..mabinti wajitahidi wasifanye haya mambo...watafute kwanza maisha yao ndo waingie ndoani, sio unaolewa unamtegemea mume tu kwakila kitu! Akifa je?
Akikuolea mke wa pili je?.
Tumieni elimu zenu mlizopewa na wazazi wenu !
sio kweli, tafiti zinaonyesha wanawake wengi walioolewa kwamfumo uliouelezea hawakuweza kudumu kwenye ndoa zao kitu kilichowapelekea kupata maumivu makali ya nafsi, si kwao tu hayo maumivu bali hata kwa watoto wao!Watoto wa kike kuolewa wakiwa hawana kipato chao...unamaliza chuo unaolewa..mabinti wajitahidi wasifanye haya mambo...watafute kwanza maisha yao ndo waingie ndoani, sio unaolewa unamtegemea mume tu kwakila kitu! Akifa je?
Akikuolea mke wa pili je?.
Tumieni elimu zenu mlizopewa na wazazi wenu !
Mmmmmmhmn huu ushauri umetoa wapi kwanza tuanzie hapo?!
Hivi ndoa kumbe zinawazuia wanawake kutafuta maisha?!
Halafu swali jingine unatafuta maisha then uoe au uolewe?!
Sasa naelewa kwann mabinti wengi sasa hivi hali zao sio nzuri kwenye mahusiano.
πππ..basi kila mtu anawaza anavyoona yeye mm ndo ushauri wangu huo hata nikiwa na binti ntahakikisha ana kitu cha kujishikizAsio kweli, tafiti zinaonyesha wanawake wengi walioolewa kwamfumo uliouelezea hawakuweza kudumu kwenye ndoa zao kitu kilichowapelekea kupata maumivu makali ya nafsi, si kwao tu hayo maumivu bali hata kwa watoto wao!
hakika, nina mfano wa mzee wangu maisha anayopitia kwa wakati huu sio ya kueleweka ! lakini aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika fulani hivi la serikali ila wanawake bwana!Usipojitambua ukiwa na miaka Ishirini Na mbili jihesabu Safari yako ngumu Sana kimaisha
lakini umwambie asikiangalie kile kitu anachojishikiza nacho kwa jicho la kwamba akizinguliwa anacho chakumbeba, siku zote ukibeba mawili moja linaweza kukuponyoka muda wowote.πππ..basi kila mtu anawaza anavyoona yeye mm ndo ushauri wangu huo hata nikiwa na binti ntahakikisha ana kitu cha kujishikizA
Mm nataka na mtoto wa kike akili ichangamke..umesoma lakini upo tu huna chochote cha kufanya kazi kuzaa tu nakulea ...umeagana na Mungu ww? ..hayo ni mengine...!ni ziadalakini umwambie asikiangalie kile kitu anachojishikiza nacho kwa jicho la kwamba akizinguliwa anacho chakumbeba, siku zote ukibeba mawili moja linaweza kukuponyoka muda wowote.
Sipingani nawe nakuunga mkono ila sio kwa % zoteMm nataka na mtoto wa kike akili ichangamke..umesoma lakini upo tu huna chochote cha kufanya kazi kuzaa tu nakulea ...umeagana na Mungu ww? ..hayo ni mengine...!ni ziada
Mimi mwanamke anayeolewa kizazi hiki bila kiwa na kijishughuli chochote namuonea huruma! Ni mm lakini...!Sipingani nawe nakuunga mkono ila sio kwa % zote
Wengine hulazimisha dreams zao kwa watoto wao.Wazeee wengi husema unamuona mtoto wa flani ni mwanajeshi, unaona mtoto wa Fulani ni mwanasheria , unamuona fulani ni Dokta wanasahau hizo Dreams zinatimia kwa uwekezaji mzuri wa kesho