naupenda Sana wimbo wa AY ule wa zamani kidogo unawasifia wakina mama watafutaji.
Mimi wasi wasi wangu mwana dada anapoingia kwenye ndoa akiwa na wazo ndoa ikinishinda sio shida kwani Ni hiki kitani save.
Happy akikutana na changamoto ngumu kwenye ndoa hataivumilia Sana kwa sababu hata akitoka kwenye ndoa hatakuwa kwenye wakati mgumu kwa sababubu ana pakuendelea na maisha, Ni vizuri mno lakini hatari Ni kubwa kuliko unavyodhani wewe kwamba binti yako utahakikisha hataolewa asipo kuwa na B. Hofu ni ataiipa value hip B kuliko ndoa.