Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

siungi mkono unyanyasaji wa wanawake sababu ya kutokuwa na kipato au Elimu, tahadhari elimu na kipato vyote vinaweza vinaweza kujenga au kuibomoa familia, inatagemeana na tabia ya mke mwenyewe. Naunga mkono kwa mke kuwa na kipato na elimu lakini atambue wajibu wake kwenye nafasi yake kama mke, kinyume chake anaweza kuishia kuwa frustrated
Ndo maana yangu hiyo..na mwanaumr atambue wajibu wakr..la sivyo ataishia kuwa frustrated too
 
Anatakiwa Samcezar apate mwanasaikolojia ampe msaada, la sivyo issues zake na wanawake hususan ma single moms itamsambaratisha sana
Sasa naenda kwa mwanasaikolojia kupata msaada gani au kwa program gani?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi una any idea how psychological programs operate?!

Kwa mwanasaikolojia unatakiwa uende if u have a twisted mind set from reality. So mimi nikienda kwa mwanasaikolojia naenda mwambiaje, kwamba ninapata shida sana kuona wanawake wetu wanajiamulia kupata watoto nje ya mpango rasmi wa mahusiano halafu wanapitia magumu. So bwana mtaalamu naomba uniprogram kuunga mkono hili swala la single mothers na nilione ni la faida.... Si ndio au?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ana mihasira huyo na wanawake
Kuna watu tusiwalaumu sana ni historia zao za nyuma kum judge hapa ni kumuonea bure
We unamuacha tu atoe shit zake aridhike siku ipite[emoji3][emoji3]
Na ni kweli sio vema kumlaumu mtu na haujui why ana behave kwa namna fulani bila kumuelewa kwa kina.

Anyways so wewe unapenda sana kuona dada na binti za wenzako wazalishwa bila ndoa, na kutelekezwa hovyo wakiwa na maisha ya kukosa mwanaume wa maisha yao?!

Si ndio?!
 
Watoto wa kike kuolewa wakiwa hawana kipato chao...unamaliza chuo unaolewa..mabinti wajitahidi wasifanye haya mambo...watafute kwanza maisha yao ndo waingie ndoani, sio unaolewa unamtegemea mume tu kwakila kitu! Akifa je?
Akikuolea mke wa pili je?.
Tumieni elimu zenu mlizopewa na wazazi wenu !
Unatema sumu
 
Uzuri mtu ukishamjua ana shida Dawa tayari imepatikana
Mnampuuza tu,hakuna anae jali hizo shit zake zaidi tunamshangaa tu mwenzetu yupo bitter au aliokotwa chooni maana si kawaida[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa unaanza kukosa adabu, naona unaniletea kauli za kutafuta kuvunjiana heshima. Hayo ya kuokotana chooni tumefikaje hapo?!

Au kuna sehemu nilishawahi kukutukana?!
 
Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge.

Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti?

Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti unaweza share ili wanaokufuata wafaidike?
Hawa wazee katika kitu wanashindwa kusema ni Elimu sio funguo za maisha lakini wanashindwa sema kabisa japo wanajuta baada ya kuwasomesha watoto wao mda mrefu na kukosa ajira..

"THINK IT AINT ILLEGAL YET"

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmmhmn huu ushauri umetoa wapi kwanza tuanzie hapo?!
Hivi ndoa kumbe zinawazuia wanawake kutafuta maisha?!

Halafu swali jingine unatafuta maisha then uoe au uolewe?!


Sasa naelewa kwann mabinti wengi sasa hivi hali zao sio nzuri kwenye mahusiano.
Kuna la kutafakarisha mno katika MESEJI hii ya dhahabu....
 
Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge.

Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti?

Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti unaweza share ili wanaokufuata wafaidike?
Kupiga punyeto...achaaa
 
Ana makasiriko huyo hatarii
Kuna siku alinishambulia kwenye post yangu matumizi ya K yangu ila alini attack kama vile ana ubia kwenye K yangu nikabaki kushangaa
Toka hio siku nikipita nikiona comment zake ni za hivyo hivyo tu nikajua kumbe sikukosea yeye ndio ana shida
Ona sasa....!

Kumbe unajijua kuwa una mwenendo sio unatakaje sasa mimi na wewe tuelewane katika maswala ya wanawake wenye stara?!
 
Kuna uzi wa wadada wanaozalishwa bila kuolewa wee alikua bitter utadhan dada zake wako hvyo . Yaan akiona unatoa wazo lako anakuita single mom umezalishwa tu umetekelezwa..utadhan kuwa singo mom ni curse![emoji28][emoji28]!
Haujui unachozungumza otherwise hii haikuwa comment sahihi.
 
Uzuri mtu ukishamjua ana shida Dawa tayari imepatikana
Mnampuuza tu,hakuna anae jali hizo shit zake zaidi tunamshangaa tu mwenzetu yupo bitter au aliokotwa chooni maana si kawaida[emoji28][emoji28][emoji28]

Kila mmoja na PERCEPTIONS zake juu ya maswala kuntu ya kijamii.....

Ila Samcezar ni brother ambaye Yuko well detailed na masuala kuntu ya jamii zetu....

Ni ndugu mwenye kutanguliza UHALISIA sana juu ya maisha yetu zaidi ya HISIA....

Kuna kipindi "haeleweki" haswa na "waitwao" ACTIVISTS wa akina mama humu ndani(feminists).....

Hapa na pale anaonekana kuwa ni kijana wa kiume mwenye MFUMO DUME hivi.....

Ila binafsi ninamuelewa kwa mengi.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepitia komenti nyingi nimekuja kugundua kitu,

Wakati wanaume wanatafuta kazi pesa ili wahudumie familia zao vizuri wanawake wanatafuta kazi na pesa ili wawwaendeshe wanaume. Utofauti mkubwa mno[emoji23][emoji23]
🤣🤣
 
Ni kweli kuhusu nn? Mm sipend mwanaume anayemdharau mwanamkr kwa aina yyt ile..! Damu yangu huwa inasisimka ..!maana kama hela wote tunajua kutafta sasa iweje unichukulia poapoa tu..hahahaaa waleleee
Kudharaulika hakuji kwasababu ya kukosa pesa.

Mtu asie na pesa akawa na hekima maisha yake ataheshimiwa tu.

Ukiwa na tabia za ajabu Kudharaulika hakutaishia na mumeo tu, hata kazini wenzako watakuona hamna kitu na hawataiva na wewe.

So nadhani labda unakosea kufiriki pesa kwa mwanamke ni sababu ya kuwa na nafasi katika nyumba, si kweli. Mwanamke anazosifa zake zinazompa hadhi, heshima na utu.

Labda wewe hauzijui na kama unazijua basi list hata tatu tatu tatu tatu tu. Sio useme mwanamke atafute pesa zake kama kigezo cha kumpa hadhi katika ndoa.
 
Back
Top Bottom