Ni mambo gani mepesi kufanyika ambayo huwezi kuyafanya?

Ni mambo gani mepesi kufanyika ambayo huwezi kuyafanya?

Kuendesha gari, nikiona zile taa hususani usiku naona kama nitapata ajali.

Mwaka 1999 tukiwa tunaenda Handeni Tanga na baba yangu tulipata ajali aisee walikufa wote kwenye lile bus kasoro dereva, mimi na mzee 😪 It has scarred me for life.
 
Kupiga kura siwezi kabisa, sijui ni kwanini....😎
Reverse nikiwa nimegeuza shingo siwezi kabisa, natumia mirrors....😊
Kuweka wallet mfukoni kwangu ni mtihani shekh, hua naishikilia mkononi au naweka kwa bag...🤗
Kuna mtu hawezi reverse na mirror. Ni mwendo wa shingo mpaka agumie jiwe
 
Kuendesha gari, nikiona zile taa hususani usiku naona kama nitapata ajali.

Mwaka 1999 tukiwa tunaenda Handeni Tanga na baba yangu tulipata ajali aisee walikufa wote kwenye lile bus kasoro dereva, mimi na mzee [emoji25] It has scarred me for life.
Mmmh aisee polen sawa Ila Mungu ashukuriwe tuko nawe...kiukweli sijawahi kupata ajali Mungu aniepushe pole sana
 
Mmmh aisee polen sawa Ila Mungu ashukuriwe tuko nawe...kiukweli sijawahi kupata ajali Mungu aniepushe pole sana
Hata kama hujawah ukiona tu waliopata ajali aisee unaweza haribikiwa akili. Walati niko form six pale kinondoni B kuna dada aligongwa usiku na gari akapasuliwa ubongo. Ile asubuhi namkuga bado hata kanga hajafunikwa aisee hii kitu isikie tu. .
 
Kujenga nilikuwa naona mafundi kama wanacheza tu.Kuna kakibanda ka mifugo nikasema ntakajenga mwenyewe yaani kupanga tu tofali na saruji nishindwe?.Nilikaachia njiani ukuta ulikuwa na vitambi sio poa.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 hapana siyo tajiri mimi
lakini kutongoza hapana aisee, Mungu atanisamehe, sitofanya hicho kitu
Mkuu sio lazima uwe ni utajiri wa mali,
Wewe huo wako basi itakua ni utajiri wa nafsi,bila shaka hua hupendi pia kumlilia mtu shida zako bali unapambana mwenyewe,ndio hua ipo hivyo.
😀 😀
 
Back
Top Bottom