Ni mambo gani mepesi kufanyika ambayo huwezi kuyafanya?

Ni mambo gani mepesi kufanyika ambayo huwezi kuyafanya?

Watz sisi ni rare creatures, mnapanda daladala gombz mnaanza kuongea taratibu, hadi mnafika kkoo mmekuwa marafiki wa kutupwa. Only in TZ😁
Eti watu wanapeana number kabisa😅😅😅
Kuna siku nasafiri safari ndefu,nilikutana na kichwa Nazi mwenzangu,tulivyopeana za asubuhi pale Magufuli ni safari ya siku nzima Kila mtu alishika hamsini zake,hakuna neno tuliongea Tena,nikasema yes!,Leo ubwabwa moto mchuzi moto 😂
 
Huo ukauzu ni noma sana aisee!😁
 
KUSINGIZIA NIMEKULA UGALI NA SUKARI, WAKATI KILA SIKU NAPOST PICHA NAKULA UGALI NYAMA.[emoji28][emoji28]
 
Uh! Mimi, aisee naombeni ushauri kwa kweli, apa ninapokaa choo ni cha kudumbukiza, sasa kila ninapoingia chooni kukata gogo lazima nilichungulie kabla halijakatika ili tu nijue kua leo nimetoa la rangi gani,,
 
Back
Top Bottom