Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze.
1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza.
Njemba alienda ukweni akagonga mamisosi mengi sana mchanganyiko. Tumbo likapatwa na mshangao aina ile ya chakula halijawahi kutana navyo. Likavurugika. Akauliza msalani akaambiwa hamna. Pale pana washroom tu. Akapelekwa.
Kwenda kule akavua tu nguo na kushusha mzigo... Ile kinyama. Alikwangua kila kitu tumboni yaani ilikuwa kidogo tu anye maini, figo, mapafu, utumbo wenyewe pengine na moyo. Kote kulitapakaa uharoh. Hakuwa na shaka. Alipoona sasa yupo empty akachukua kibomba ajisafishe. MAJI HAYATOKI. Akaangalia kwenye ndoo HAKUNA MAJI. na pale home kaenda salimia wazazi. Yupo Baba na Mama Mkwe tu.
ILIKUWA INSHU.
Ntaendelea kukupa tips nyingine