Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Kuna Mambo Padre Martin Luther Aliyakataa
Ndiyo. Aliyakataa kwa hoja sio kwa Mhemuko. Na waliokuwa hawamuelewi na kumpinga kipindi hicho, leo hii ndo wanaona uzito wa Hoja zake. But too late.
 
Haa Kweli
Maana Tanzania Tu Haiwezi Kutosha, Je Duniani Kote Itakuwaje
Kila kanisa mara nyingi huwa lina mtakatifu wake kwa uelewa wangu

mfn Mt josephina bakhita
Mt peter
Mt Theresia
Mt Yosefu nk wapo wengi sana mamia kwa mamia
 
Mie bado nashangazwa na wachungaji kusema wanatuombea kwa Mungu tuwe matajiri, lakini wao hawamuombi Mungu wanatukamua sisi, kwanini wanapokwenda kutuombea na wao wasiombe hukohuko?
 
Na kama ungekuwa muislamu waislamu tungekuwa na hasara kuwa na mtu mwenye akili mbovu kama wewe!
Endelea huko huko kwa WAVAA MISALABA ndio panakufaa!.
Aisee kwaiyo umeni judge kwa imani yangu na yako hainiuhusu? Wakati mimi na mvaa msalaba kumbuka na wewe unautumia tasbii ambao ni msalaba pia .unaabudu jiwe jeusi manka na unamfuata mtume aliyerogwa huku quran ikiwa imeshushwa na adui wa jibr ambae ni shetan .na inapushuka wahy zinashuka kwa mfano wa saut za makengele meng (kwa iman ya maquresh wa manka saut za makengele uambatana na shetani)pole sana mdau heri yangu mm niliyonayo yana unafuu kuliko yako
 
Mie bado nashangazwa na wachungaji kusema wanatuombea kwa Mungu tuwe matajiri, lakini wao hawamuombi Mungu wanatukamua sisi, kwanini wanapokwenda kutuombea na wao wasiombe hukohuko?
Si uliambiwa mganga hajigangi ama?
 
Hii ndio inaitwa usijitie ujuaji kwenye mambo ya watu,

Watu wamesema usiende wew unaenda, na umeona wanaroga ? Alidhani wanatania ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…