Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Hii siyo hadithi wala story ni mwaka huu tu imetokea kwenye kanisa langu la siku zote.

Basi kulikuwa na usimikaji/kuzindua kanisa jipya tulilo changa ma hela kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu likawa limekamilika na hatimae Askofu alikuja kulizindua kanisa hilo pamoja na kupewa hadhi ya kuwa parokia

Jambo lililo tuacha midomo wazi waumini wengi ni mambo kadhaa wa kadhaa (sita yataja yote) tukio la kulisimika kanisa lilianza saa3 asubuhi hadi saa10 jioni.

Moja ya matukio tuliyoona kwa macho ni mifupa ya marehemu aliye fariki siku nyingi kuletwa na kuzikwa kweye arutale(mimbari) Huyu marehemu ambaye kwa sasa tunamuita MT fulani kwa imani yetu.

Kulikuwa na chungu kama vile vya waganga wa kienyeji na vilikuwa na vitu kadhaa mle ndani pamoja na mkaa wa moto huku moshi mzito ukifuka.

Baada ya yote hayo kuisha kiongozi wetu wa dini yaani (.....) alipapaka mafuta na kuanza kupasugua na kupasafisha yeye mwenyewe. Na mengine mengi.

Hakika kwa haya yameniacha mdomo wazi na sio mimi tu nimejaribu kuuliza viongozi kadhaa wa dhehebu langu sijapewa jibu la kueleweka maana mimi niliona kama ni kinyume na ukristo.

Wakuu nahitaji kuuliza maana nilijua najua vitu vingi kwenye imani yangu kumbe bado kabisaaa ni mtoto.je hii ina ulazima gani na kwanini ifanyike hadharani na mc akitangaza hadharani kwenye vipaza sauti na watu wasio sali dhehebu letu wasikie na kujua kinacho endelea?

Je, wewe umewahi kuona kitu ambacho kilikuacha mdomo wazi na maswali mengi .
Japo hujataza dhehebu lakini dhehebu/dini ambayo madhabahu zao ni makaburi ni Roman Catholic RC. Hiyo mnayaiita madhabau ni kaburi kwahiyo mnasali makaburini
 
Hii siyo hadithi wala story ni mwaka huu tu imetokea kwenye kanisa langu la siku zote.

Basi kulikuwa na usimikaji/kuzindua kanisa jipya tulilo changa ma hela kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu likawa limekamilika na hatimae Askofu alikuja kulizindua kanisa hilo pamoja na kupewa hadhi ya kuwa parokia

Jambo lililo tuacha midomo wazi waumini wengi ni mambo kadhaa wa kadhaa (sita yataja yote) tukio la kulisimika kanisa lilianza saa3 asubuhi hadi saa10 jioni.

Moja ya matukio tuliyoona kwa macho ni mifupa ya marehemu aliye fariki siku nyingi kuletwa na kuzikwa kweye arutale(mimbari) Huyu marehemu ambaye kwa sasa tunamuita MT fulani kwa imani yetu.

Kulikuwa na chungu kama vile vya waganga wa kienyeji na vilikuwa na vitu kadhaa mle ndani pamoja na mkaa wa moto huku moshi mzito ukifuka.

Baada ya yote hayo kuisha kiongozi wetu wa dini yaani (.....) alipapaka mafuta na kuanza kupasugua na kupasafisha yeye mwenyewe. Na mengine mengi.

Hakika kwa haya yameniacha mdomo wazi na sio mimi tu nimejaribu kuuliza viongozi kadhaa wa dhehebu langu sijapewa jibu la kueleweka maana mimi niliona kama ni kinyume na ukristo.

Wakuu nahitaji kuuliza maana nilijua najua vitu vingi kwenye imani yangu kumbe bado kabisaaa ni mtoto.je hii ina ulazima gani na kwanini ifanyike hadharani na mc akitangaza hadharani kwenye vipaza sauti na watu wasio sali dhehebu letu wasikie na kujua kinacho endelea?

Je, wewe umewahi kuona kitu ambacho kilikuacha mdomo wazi na maswali mengi .
Ukatoliki
 
Kama ni Mkristu waweza kuwa Mkatoliki au Mprotestanti, period. Tuacheni Wakatoliki na imani yetu. Hili ndilo kanisa aliloliacha Yesu Kristu na hili ndilo atakalolikuta siku ya mwisho baada ya ufufuo. Wewe ndiye Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu (Mathayo 16:18)

Hatubishani na mtu, wala hatuogopi matusi yenu. Kanisa lina miaka 2025, na lina waumini 1.4 Bilioni duniani kote ambayo ni 20% ya watu wote duniani. Dunia ina watu Bilioni 7 kwa sasa. Ina maana kila ukikutana na watu watano duniani, mmoja wao ni Mkatolili
Hayo uliyosema sijayauliza hapa.Au ni wapi nimeyaongelea?

Mimi RC siku zote na huna hati milii ya kanisa hili kuwaambiwa watu wakuachie kanisa
 
kutoka misr kwenda kanaan walibeba mifupa ya Yusufu.Je Yusufu alozikwa wapi? Uvumba ni kitu gani? Acha wazike tu maana ya biblia nayo ni mengi ukiachana na ukristo ambao wengi wanadhani katiba yake ni biblia .Katika imani mengine tujiongeze tu tunaenda .kitimoto ni haramu kwann wana wa Israel waliwafuga?kwanini nguruwe mpaka leo wapo? Kuna miujiza Yesu anafanya mingine anakupaka tope alilofanya kwa mate yake na mingine anasema tu inuka au ona .kwann yote asiseme ona ,tembea .kuwa na imani mdau hata hirizi biblia haikatai .Usinzi tu inategemea mbona Daud alizini nq hakupigwq mawe? Kuna wakati Musa aliua.Yoshua aliua na wanafunzi wa Yesu waliua pia au wewe usomagi biblia ? Unaambiwa hata shetan atauwawa kwa pumzi ya Yesu yaani hata Yesu mwenyewe anaua haah sembuse mimi ?na huko mbinguni kuna vita vinapiganwa yaani hata mbinguni kuna mmama amezaa just image hiyo mimba kama sio ya usinzi n nani aliifungisha hiyo ndoa maanq imeandkwa mbingun hawaoi wala kuolewa.Tafakar ndg .notes mimi sio muislam wala chawa.
Mama anayeongelewa ni mama yake Yesu.
 
Uislamu nao ni kichekesho tu yaani mnaambizana kwamba mtapewa mabikra 72.haya watu 10 ×72=720.sasa si itakuwa fujo tu alafu mbigu gan watu wanafanya ngono?
Huna akili nyamaza
Aya nyie watwa'uut mnaoa sapoti ndoa za jinsia moja ndo mtaingia peponi. Umeridhika?
4dfa4c1f-8127-42de-851d-63e25fa266bf_1920x1080.jpg
 
Mkuu mkaa unawekwa kwenyw chungu kutokana na chetezo kutotosha mkaa uho kisha umwaga ubani ndani ya mkaa ukisema watumie chetezo mpaka ibada iishs moto utazim san

Kuhusu mifupa ni mifupa ya watakatifu ni njia moja wapo ya kuungana nao katika sala zao
Sasa hapo si unafanya sala ya mizimu?ukatoliki ni kama kaushetani
 
Mkuu hayo ni mambo ya kabisa katoliki, ukiona kabisa Linaitwa parokia ya mtakatifu "yuda thadei" ujue Kuna mifupa ya huyo mtakatifu altareni, huo ni upagani kama upagani mwingine eg kuombea wafu,kuabudu sanamu nk..
Kuna vingi vinafanyika kinyume na biblia,
Mambo ya ajabu sana
 
Hyo ni kawaida mbna kila kanisa kubwa wanazika, ila bora roman. Nilienda kanisa moja la walokole kuna chumba kimoja alikua anafikiaga mwalimu wao, nilistaajabu kuona mle nguo NYEKUNDU na NYEUPE na dawa dawa mafundo. Nilitokamo fasta mle ila ckuonwa na mtu.

KWAHIYO..
Yakaisari tumwachie kaisari..
Ya mama samia tumwachie mama..

Kuna mambo mazito ya siri yanaendlea asilimia kubwa makanisa yote(ucnikatalie kwan kuna siri nying hufanyika nyuma ya pazia). Kwahy wew kasari kwa iman mengne uctake kujua(chakula kitamu kimepikwa vip jua kula). Ila nyuma ya pazia ukijua utadharau kila kitu. Ila amin M-ngu yupo.
Uko sahihi
 
Unayosema mifupa ililetwa sina hakika kama uliiona mifupa kwasababu huwa sio mifupa haswa bali ~chembe ndogo sana ya masalia ya huyo mtakatifu aliyewekwa~ kuwa msimamizi wa kanisa

Labda mimi sijaelewa sio mifupa ila ni chembe chembe ndogo za aliyekufa
Kwa mfano mtakatifu yuda Thadei ni msimamizi wa makanisa zaidi ya buku duniani kote, sasa ukisema mifupa yake ikazikwe kwenye kila kanisa analosimamia inamaanisha mifupa ya mwili wote haitatosha kugawa kwenye makanisa yote duniani.
Ndio mana unaambiwa ni chembe ndogo sana ya masalia yake sio lazima iwe mifupa.Hapo mifupa mara nyingine inatumika kama lugha ya ishara tu.
 
Kama unaweza kufanya ishara ya sala kwenye sanamu ya mwanamke ambaye inafahamika kama bikra malaria, kama unaweza kuomba kwa mtakatifu Fulani niombee, unawezaje kushangaa hayo uliyoyaona!?
 
Back
Top Bottom