Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Japo hujataza dhehebu lakini dhehebu/dini ambayo madhabahu zao ni makaburi ni Roman Catholic RC. Hiyo mnayaiita madhabau ni kaburi kwahiyo mnasali makaburini
 
Ukatoliki
 
Hayo uliyosema sijayauliza hapa.Au ni wapi nimeyaongelea?

Mimi RC siku zote na huna hati milii ya kanisa hili kuwaambiwa watu wakuachie kanisa
 
Mama anayeongelewa ni mama yake Yesu.
 
Uislamu nao ni kichekesho tu yaani mnaambizana kwamba mtapewa mabikra 72.haya watu 10 ×72=720.sasa si itakuwa fujo tu alafu mbigu gan watu wanafanya ngono?
Huna akili nyamaza
Aya nyie watwa'uut mnaoa sapoti ndoa za jinsia moja ndo mtaingia peponi. Umeridhika?
 
Sasa hapo si unafanya sala ya mizimu?ukatoliki ni kama kaushetani
 
Mambo ya ajabu sana
 
Uko sahihi
 
Kwa mfano mtakatifu yuda Thadei ni msimamizi wa makanisa zaidi ya buku duniani kote, sasa ukisema mifupa yake ikazikwe kwenye kila kanisa analosimamia inamaanisha mifupa ya mwili wote haitatosha kugawa kwenye makanisa yote duniani.
Ndio mana unaambiwa ni chembe ndogo sana ya masalia yake sio lazima iwe mifupa.Hapo mifupa mara nyingine inatumika kama lugha ya ishara tu.
 
Kama unaweza kufanya ishara ya sala kwenye sanamu ya mwanamke ambaye inafahamika kama bikra malaria, kama unaweza kuomba kwa mtakatifu Fulani niombee, unawezaje kushangaa hayo uliyoyaona!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…