Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nikuulize dada Lizzy, katika makosa ya kwenye mahusiano, huwa una condemn then husamehi, au unacondemn na kusamehe au una samehe bila ku-condemn au hufanyi vyote?VoR you are just trying to excuse everybody!The society is not in attempt to help itself by locking up these people up!It's punishing them by taking away their freedom..make them live in a way that is not meant for humans..so the society..us collectivelly do not forgive we condemn!
Pole kwa kukushtua!
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: (lakini jana kuna mtu alisema hawezi kukusamehe)Mat 6:14
http://biblia.com/bible/niv/Matthew 6.14For if you forgive men when they sin against you, your heavenly Father will also forgive you.
Ephesians 4:32
Be kind and compassionate to one another, forgiving each other, just as in Christ God forgave you
Lizzy
Forgiveness is a decision of the will. Since God commands us to forgive, we must make a conscious choice to forgive. This frees the forgiving one from the past. Once you forgive you should bury it and forget. You should move on.
Msamaha wa kweli..WA KWENYE BIBLIA ule hausemi usamehe na kuacha!Unatakiwa kusamehe..usahau na kuendeleza maisha kama kawaida!Unaoongelea wewe ni sawa na kupotezea kitu tu..kwamba nakwambia nimekusamehe ila kwanzia leo tusijuane..ila na nikikuona naweza kukumbuka!Msamaha does not mean kwamba uendelee kukaa na mtu...., What I mean ni kwamba you let it go... unaweza ukamuacha mwenza wako and go separate ways lakini ukamsamehe na sio ku-hold the grudge
.....and where are we living then? unaweza kutenganisha dunia ya uhalisia na dunia ya kiroho?but we are not leaving in a spiritual world!
VoR you are just trying to excuse everybody!The society is not in attempt to help itself by locking up these people up!It's punishing them by taking away their freedom..make them live in a way that is not meant for humans..so the society..us collectivelly do not forgive we condemn!
Msamaha wa kweli..WA KWENYE BIBLIA ule hausemi usamehe na kuacha!Unatakiwa kusamehe..usahau na kuendeleza maisha kama kawaida!Unaoongelea wewe ni sawa na kupotezea kitu tu..kwamba nakwambia nimekusamehe ila kwanzia leo tusijuane..ila na nikikuona naweza kukumbuka!
Hapo Lizzy wabakaji, wauwaji they are menace to Society kwahiyo they should be kept far away from community ili wasiwadhuru wengine..., I Dont Believe in Killing People Who Kill People.... Because thats makes us Killers as well..., lakini kifungo cha maisha its okay..., sio kuwakomoa tu bali kulinda Jamii...,
Now if you dont let go..., forgive... it will consume you my dear....., if one of your child is gone hili janga might change you and you might not be able to love the remaining children perfectly..., "An Eye for an Eye will make the all world Blind" ..... Gandhi.
Kwenye mahusiano nasamehe..nimewahi na ntaendelea ila inategemea na kosa!As long as mtu hajanirobe of something irreplaceble napotezea!Hebu nikuulize dada Lizzy, katika makosa ya kwenye mahusiano, huwa una condemn then husamehi, au unacondemn na kusamehe au una samehe bila ku-condemn au hufanyi vyote?
Issue ni what precede the other.
Rev...we are commanded to do a lot of things but we don't follow through with it!If we did...we probably wouldn't need forgiveness!
Wrong!
Kwenye mahusiano nasamehe..nimewahi na ntaendelea ila inategemea na kosa!As long as mtu hajanirobe of something irreplaceble napotezea!
kuna makosa yanayoleta maumivi ya muda mrefu moyoni ambayo NALAZIMIKA kusamehe.Kuna makosa yatakayokufanya uamke usiku na kubishana na usichokiona, ukienda kulala it takes you 4/6 HOURS BILA USINGIZI sasa ili kuepusha hayo mateso huwa mwishowe nalazimika kusamehe then with short time nakuwa nearly normal,
Shulen nlikuwa najipitishapitisha (stori stori )wakati wenzio wakisoma kuna ndugu flani alikuwa akinishauri nitafute ugomvi mkubwa (social BIFU) na selected individuals ili niwe na yakuwaza wakati wenzangu wakisoma
KUTOSAMEHE NI MZIGO!!!