Ni Mambo Gani unaweza kusamehe au kutokusamehe?

Hebu nikuulize dada Lizzy, katika makosa ya kwenye mahusiano, huwa una condemn then husamehi, au unacondemn na kusamehe au una samehe bila ku-condemn au hufanyi vyote?

Issue ni what precede the other.
 
.......utusamehe makosa yetu kama sisi tunavyowasamehe wale wote waliotukosea.......... This is very strong philosophical and spiritual wise.
but we are not leaving in a spiritual world!
 
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: (lakini jana kuna mtu alisema hawezi kukusamehe)
 
Msamaha does not mean kwamba uendelee kukaa na mtu...., What I mean ni kwamba you let it go... unaweza ukamuacha mwenza wako and go separate ways lakini ukamsamehe na sio ku-hold the grudge
Msamaha wa kweli..WA KWENYE BIBLIA ule hausemi usamehe na kuacha!Unatakiwa kusamehe..usahau na kuendeleza maisha kama kawaida!Unaoongelea wewe ni sawa na kupotezea kitu tu..kwamba nakwambia nimekusamehe ila kwanzia leo tusijuane..ila na nikikuona naweza kukumbuka!
 
Rev...we are commanded to do a lot of things but we don't follow through with it!If we did...we probably wouldn't need forgiveness!
 

Hapo it serves the two purposes Kwanza.., kuwaweka ndani ili liwe fundisho kwa wengine waogope kufanya hivyo..., ila when it comes to rapist and murderes locking them help community as well so they dont get a chance to hurt someone else...

Lakini when it comes to an individual ukisamehe.., letting it go..., itakusaidia mwenyewe..., mwisho wa siku dua zako za kuku hazitampata mwewe na wewe utazidi kuumia..., au na wewe utaua alafu you might end up getting locked up na your loved ones will miss you and life will pass you by.... its just not worth it....
 
Mi naweze samehe chochote na nimesamhe mengi ila SISAHAU,na kuna siku nalia asubuhi hadi usiku na kumuuliza Mungu kwanini nilifanyiwa hivi but waliofanya nikawasamehe sina neno nao na tuko vizuri tu toka ndani ya moyo wangu......tumetofautiana mama mchungaji....... naongelea vitu vikubwa kusamehe si ku-cheat tu.....tua mizigo kwa Mungu,wanasema forgiveness is good for you and for the person who wronged you........
 

Then I think that is wrong or we are qouting the Bible wrong. Am sure they dont mean if someone rapes you welcome him again tommorrow ukiwa peke yako..., au if someone kills your child take another child for him to look after..., thats why I mean forgive as in not holding a grudge.., lakini be careful in not giving that someone another chance to hurt you... as they say
"Fool Me Once, Shame on You..., For me Twice Shame on Me"
 
Baba_Enock hajawahi kusamehe tangia atoke tumboni mwa Mama yake!

Huwa watu wanafanya unafiki tu eti "Forgive and Forget"!!! Unapomtendea mtu kosa/dhambi fahamu fika kuwa hilo jambo limeandikwa kwenye ubongo and can not be "ERASED" hata mpaka atakapokuwa anaelekea kwenye haki..

Learn not to SIN as SINNERS are unforgivable
 
Big Up VoiceOfReason.
Hapo nasapoti 100000%

 
Hebu nikuulize dada Lizzy, katika makosa ya kwenye mahusiano, huwa una condemn then husamehi, au unacondemn na kusamehe au una samehe bila ku-condemn au hufanyi vyote?

Issue ni what precede the other.
Kwenye mahusiano nasamehe..nimewahi na ntaendelea ila inategemea na kosa!As long as mtu hajanirobe of something irreplaceble napotezea!
 
Rev...we are commanded to do a lot of things but we don't follow through with it!If we did...we probably wouldn't need forgiveness!

Note following can not be taken as an excuse! To me I consider the bible is a guidelines to life! in King James version both old and in new testament

  • the word forgive is mentioned 56 times
  • The word forgiven is mentioned 42 times
  • The word forgiveness is mentioned 7 times
  • The word forgiveth is mentioned 2 times
  • The word forgivenesses is mentioned 1 time
Therefore if you can not forgive then you should not expect forgiveness.
 
Kwenye mahusiano nasamehe..nimewahi na ntaendelea ila inategemea na kosa!As long as mtu hajanirobe of something irreplaceble napotezea!

But kupotezea does not mean haujasamehe...., you can still forgive lakini ukapotezea...
 
kuna makosa yanayoleta maumivi ya muda mrefu moyoni ambayo NALAZIMIKA kusamehe.Kuna makosa yatakayokufanya uamke usiku na kubishana na usichokiona, ukienda kulala it takes you 4/6 HOURS BILA USINGIZI sasa ili kuepusha hayo mateso huwa mwishowe nalazimika kusamehe then with short time nakuwa nearly normal,

Shulen nlikuwa najipitishapitisha (stori stori )wakati wenzio wakisoma kuna ndugu flani alikuwa akinishauri nitafute ugomvi mkubwa (social BIFU) na selected individuals ili niwe na yakuwaza wakati wenzangu wakisoma

KUTOSAMEHE NI MZIGO!!!
 

You have spoken my mind hasa hapo kwenye red! Be blessed

Rev Masa K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…