kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Habari za Muda huu wadau,
Ukiachana na Mambo ama elimu tunayofundishwa Kliniki pindi umempeleka mwenzi wako Siku ya kwanza kliniki.
Kama Kuandaa vitu vya kujifungulia, kanga, Mpira, Nguo za mtoto, Pesa za kujifungulia na usafiri. N.k.
Ni mambo gani mengine ya muhimu ambayo unatakiwa kujiandaa nayo pindi mnapokaribia kupata mtoto (KUJIFUNGUA)