Ni mambo gani ya kujiandaa pindi mwanamke anapotaka kujifungua?

Ni mambo gani ya kujiandaa pindi mwanamke anapotaka kujifungua?

Umenichekesha mno
Daah million tatu..... Hapa sina hata mia mbovu 😂
Afu nasikia m3

Kuna Uzi niliona humu watu wanasema matumizi ya mtoto kwa mwezi sijui laki nne na ni wale wanao nyonya sijui

Mimi bado niko kwenye kundi la kufunga watoto na kanga aseeh 😂
 
1. Jiandae kisaikolojia kwanza.
2. Usijifunge na tarehe ulioambiwa na OB wako...muda wowote baada ya miezi Sita unaweza kujifungua.
3. Nguo za mtoto ni muhimu saana. Vyombo na sehemu ya kulala.
4. Uwe na pesa ya chakula chako na cha mtoto....utahitaji kula kama unanyonyesha kama haunyonyeshi andaa pesa ya formula.
5. Ulizia blood group la mtoto kama hawaandiki kwenye kadi...itakusaidia baadae.
6. Usije ukakosa check-up yoyote.
7. Usianze kumdandia mama baada ya kujifungua mpe hata tumiezi tutatu walau.
8. Baada ya kujifungua fanya checkup ya mtoto maana muda mwingi inakuwa ni Bure kama moyo, macho, maskio, mfumo wa chakula.....ukisubiri saana unaweza kuwa mvivu na usiangalie
Hiii imenigusa sana mpendwa..... ahsante sana
 
Jiandae kuanzia wik y pili KATOTO HAKALALI// kama sio kulia lia// macho kodooo na ww lazima uwe kodooo
 
Back
Top Bottom