kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Andaa hela mkuuHabari za Muda huu wadau,
Ukiachana na Mambo ama elimu tunayofundishwa Kliniki pindi umempeleka mwenzi wako Siku ya kwanza kliniki,
Kama Kuandaa vitu vya kujifungulia, kanga, Mpira, Nguo za mtoto, Pesa za kujifungulia na usafiri. N.k..
Ni mambo gani mengine ya muhimu ambayo unatakiwa kujiandaa nayo pindi mnapokaribia kupata mtoto (KUJIFUNGUA)
Umetisha1. Jiandae kisaikolojia kwanza.
2. Usijifunge na tarehe ulioambiwa na OB wako...muda wowote baada ya miezi Sita unaweza kujifungua.
3. Nguo za mtoto ni muhimu saana. Vyombo na sehemu ya kulala.
4. Uwe na pesa ya chakula chako na cha mtoto....utahitaji kula kama unanyonyesha kama haunyonyeshi andaa pesa ya formula.
5. Ulizia blood group la mtoto kama hawaandiki kwenye kadi...itakusaidia baadae.
6. Usije ukakosa check-up yoyote.
7.
Baba mzoefu....ukinikubalia tayari nina experience mkuu.Umetisha
Una wangapi mpaka sasa? Tuongeze idadi mahiii...πππππBaba mzoefu....ukinikubalia tayari nina experience mkuu.
Haha....ninao wajua 2. Watoto ni baraka.Una wangapi mpaka sasa? Tuongeze idadi mahiii...πππππ
naomba kuuliza,Andaa kitanda cha mtoto ili asiwe ana share kitanda na watu wazimaView attachment 3185363
Kama hauna hiyo pesa, mtoto hatazaliwa au atakufa?hakikisha hukosi walau milio tatu mfukoni
Shukran1. Jiandae kisaikolojia kwanza.
2. Usijifunge na tarehe ulioambiwa na OB wako...muda wowote baada ya miezi Sita unaweza kujifungua.
3. Nguo za mtoto ni muhimu saana. Vyombo na sehemu ya kulala.
4. Uwe na pesa ya chakula chako na cha mtoto....utahitaji kula kama unanyonyesha kama haunyonyeshi andaa pesa ya formula.
5. Ulizia blood group la mtoto kama hawaandiki kwenye kadi...itakusaidia baadae.
6. Usije ukakosa check-up yoyote.
7. Usianze kumdandia mama baada ya kujifungua mpe hata tumiezi tutatu walau.
8. Baada ya kujifungua fanya checkup ya mtoto maana muda mwingi inakuwa ni Bure kama moyo, macho, maskio, mfumo wa chakula.....ukisubiri saana unaweza kuwa mvivu na usiangalie
Hahaha bro mbona hatarihakikisha hukosi walau milio tatu mfukoni
Hahaha bro mbonqhakikisha hukosi walau milio tatu mfukoni
Ni Lazima mtoto awe na kitanda chake ? Asishee kitanda na mzazi ?Bajeti ya Msosi mzuri na zawadi kwa mzazi mwenzio.
Accessories za mtoto kama vitanda,neti na toys na mazaga yote ya muhimu.
Mtu wa kumsaidia mama anapozianza 40 za uzazi
πππ Kwamba wengi tungekufa million tatu kujifungua tuu,Kama hauna hiyo pesa, mtoto hatazaliwa au atakufa?
Basi wengi wetu tusingekuwepo duniani