Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Habari wanaJF,

Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?

Ahsanteni.
 
Uķienda kwenye website ya wizara ya elimu utakuta mwongozo wa uanzishaji na usajili wa shule. Ukipakua mwongozo huo utapata kila kitu muhimu unachohitaji.
 
Jenga darasa moja kwanza, pamoja na maliwato zake, pamoja na ofisi; mengine yataendelea
 
Jenga madarasa matatu..
Ofisi ya walimu/staff
Gari la kuwasafirisha watoto
Jiko la kupikia chakula
Jaili walimu wazuri kwa watoto wenye kujua vyema kufundisha lugha ya kiingereza
Weka facilities za michezo kama mabembea n.k
Hakikisha una management nzuri.
Jitangaze vyema
Hakikisha unausajili kamili kutoka mamlaka husika..hii unaweza ukalifanya bila huku unaendelea na huduma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom