Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuchagua mwenza na uchumba unapaswa kudumu kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa?

[emoji375][emoji375][emoji419][emoji625][emoji2767][emoji420]noted with thanks
 
Chukua hizi.
1.usioe mwanamke chini ya 25 yrs akikuzoea utaomba poo.

2.usioe mwanamke mchoyo/mbinafsi.

3.KAMA MWANAMKE KWAO MAMA ANASAUTI KULIKO BABAKE USIJARIBU HATA KUTIA MGUU KWAO KIMBIA
Ni mara milioni uoe mwanamke mchawi mlevi lakini No3 acha kabisa usithubutu.
 
Chukua na haya. 1.jitahida kumfahamu yeye, wazazi wake, marafiki zake. 2.Dini, miwe wa Imani Moja( kiroho zaidi). 3.umri, angalau ukaribiane, msiwe na tofauti kubwa Sana. 4.Kabila au jamii. Oa Kwa jamii mnazo karibiana Kwa Mila na desturi/ fahamu Mila na desturi za jamii yake. 5.elimu.angalau mkaribiane japo sio lazima, kikibwa kujitambua. 6.kipato, na çhanzo cha mapato yake jitahidi yafahamu. NB.usioe gogo, OA feni...
 
Hakikisha huyo mkeo mtarajiwa hana X ambae anawasiliana nae pale mnapokua mmekorofishana. Huyo ndio alikua anapendwa na ana uwezo wa kurudi kujipigia nyama tamu mda wowote akitaka.
Kweli kabisa mkuu kuna mmoja ana watoto wawili angekuwa karibu ningepasha kiporo sema yuko mbali sana na nilipo ndoa yake ina migogoro.
 
Ishi nae hata mwaka au zaid na ukiona madhaifu piga chini usijiulize mara mbili,

Kuna watu weng wapo kwenye ndoa zenye migogoro japo wakati wa uchumba waliona madhaifu wakajipa imani kuwa atabadilika sahiv wanajuta
 
Asikwambie MTU Tabia ya MTU huwa inakuja automatically.....kutokana na mchezo atakao ukuta kwenye ligi yako.....kama ni bunda sliga au premier League.........
 
Ila usiombe ukutane na Zombi maigizo maana utajuta kuzaliwa ........kama ulinogewa na utamu WA mbususu ukuchagua MTU kweli hapo ndio utajua kwani wapemba hawaupendi ugali licha ya kutojua kulima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…