Sio tegemezi kwenye masuala kama elimu ambayo ni makubwa atakuwa anakutegemea kwa ugali.Mtoto wa miaka 25 graduate aliemaliza chuo kikuu anasubiri ajira anakuaje sio tegemezi kwako?
Na ambao tumevuka 35 na hatuna hivyo vitu mnatuchukuliaje? Mzee wa KFC ananipa moyoKuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35 .....
I
Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja,
Haya endeleaaaaa kutaja vitu vya msingi
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU.Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35.
Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja, nk.
Haya endelea kutaja vitu vya msingi.
ENDELEA HIVYOHIVYO KUJITAFUTIA MATATIZO KWA BEI NAFUU!!!Japo Wanasema life begin at 40 mimi nakataa hayo ni maneno ya Senior Bachelors kujipa moyo.. mimi nasema life begin at 25.
Kabla ya kufika 27 nitajitahidi angalau niwe na familia hata kama life itakua imebamba vipi.
Huwezi jua mwenza ataleta baraka gani.
Hao walikuwa wanawake wa zamani, soma alama za nyakati otherwise jiandae na msongo wa mawazoMatatizo yapii?? Mbona Dingii kaoa ana 21 yrs ila leo yuko mbali kuliko wale waliosubiria wajipange. Kaoa anamlaza mke kwenye mkeka nyumbani kwao
Hahaha...Kama unataka kuyaforce maisha basi kabla ya huo umri inatakiwa uwe umeshakufa
Japo Wanasema life begin at 40 mimi nakataa hayo ni maneno ya Senior Bachelors kujipa moyo.. mimi nasema life begin at 25.
Kabla ya kufika 27 nitajitahidi angalau niwe na familia hata kama life itakua imebamba vipi.
Huwezi jua mwenza ataleta baraka gani.
Wale bachelor sugu someni hapaKua ufikapo 30-35 walau uwe umeoa hii kwangu naona ni kutiana moyo tu ila kwa mm nashauri ufikapo 27-30 ndio uwe umeoa labda tu kama kuna mambo yanakubana..
Kuna changamoto nyingi utazipata ukioa ukiwa na huo umri lakini ndio hizo hizo Utazipata ata ukioa ukiwa na miaka40.