Ni mambo gani ya msingi unatakiwa uyatimize kabla ya kutimiza miaka 35?

Ni mambo gani ya msingi unatakiwa uyatimize kabla ya kutimiza miaka 35?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35.

Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja, nk.

Haya endelea kutaja vitu vya msingi.
 
Kitu muhimu katika umri huo uwe na familia mke na watoto, kipato utakuwa nacho tu automatically labda uwe hujishughulishi kwa lolote. Nasema hivyo kwa kuwa ukizaa mtoto say wa kwanza ukiwa 35 ina maana ukifika 60 umri ambao uwezo wa kufanya kazi umekwisha mtoto anakuwa na miaka 25 na sio tegemezi kwako tena.
 
Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35 .....
I
Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja,

Haya endeleaaaaa kutaja vitu vya msingi
Na ambao tumevuka 35 na hatuna hivyo vitu mnatuchukuliaje? Mzee wa KFC ananipa moyo
 
Japo Wanasema life begin at 40 mimi nakataa hayo ni maneno ya Senior Bachelors kujipa moyo.. mimi nasema life begin at 25.
Kabla ya kufika 27 nitajitahidi angalau niwe na familia hata kama life itakua imebamba vipi.
Huwezi jua mwenza ataleta baraka gani.
 
Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35.

Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja, nk.

Haya endelea kutaja vitu vya msingi.
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU.
 
Japo Wanasema life begin at 40 mimi nakataa hayo ni maneno ya Senior Bachelors kujipa moyo.. mimi nasema life begin at 25.
Kabla ya kufika 27 nitajitahidi angalau niwe na familia hata kama life itakua imebamba vipi.
Huwezi jua mwenza ataleta baraka gani.
ENDELEA HIVYOHIVYO KUJITAFUTIA MATATIZO KWA BEI NAFUU!!!
 
Matatizo yapii?? Mbona Dingii kaoa ana 21 yrs ila leo yuko mbali kuliko wale waliosubiria wajipange. Kaoa anamlaza mke kwenye mkeka nyumbani kwao
Hao walikuwa wanawake wa zamani, soma alama za nyakati otherwise jiandae na msongo wa mawazo
 
Kua ufikapo 30-35 walau uwe umeoa hii kwangu naona ni kutiana moyo tu ila kwa mm nashauri ufikapo 27-30 ndio uwe umeoa labda tu kama kuna mambo yanakubana..

Kuna changamoto nyingi utazipata ukioa ukiwa na huo umri lakini ndio hizo hizo Utazipata ata ukioa ukiwa na miaka40.
 
(1) ujijue wewe ni nani na unapaswa/hupaswi kufanyanini. (Tambua mipaka yako)jamii ifahamu umuhimu wako.
(2) uwe na uwezo wa kujitegemeamea. (Kifikra na kiuchumi)
(3) uwe na familia (kwa wanaume)
 
NOTE
Mafanikio ni kuweza kutimiza yale unayoyatamani kuyafikia..sio kuwa na nyumba,gari,mke na watoto.
 
Japo Wanasema life begin at 40 mimi nakataa hayo ni maneno ya Senior Bachelors kujipa moyo.. mimi nasema life begin at 25.
Kabla ya kufika 27 nitajitahidi angalau niwe na familia hata kama life itakua imebamba vipi.
Huwezi jua mwenza ataleta baraka gani.

J
Huyo mweza kama utampata wakati wee mwenyewe choka mbaya sijui
 
Kua ufikapo 30-35 walau uwe umeoa hii kwangu naona ni kutiana moyo tu ila kwa mm nashauri ufikapo 27-30 ndio uwe umeoa labda tu kama kuna mambo yanakubana..

Kuna changamoto nyingi utazipata ukioa ukiwa na huo umri lakini ndio hizo hizo Utazipata ata ukioa ukiwa na miaka40.
Wale bachelor sugu someni hapa
 
Back
Top Bottom