Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35.
Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja, nk.
Haya endelea kutaja vitu vya msingi.
Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja, nk.
Haya endelea kutaja vitu vya msingi.