Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,760 Reaction score 5,144 Nov 2, 2026 #41 Matunzo 02 said: ukija kuonja utabadilika tabia funga sana maombi. Click to expand... Duh wanasema mazingira yana uwezo wa kumbadilisha mtu tabia, na hapa ndio najionea mwenyewe ila naamini nitakuwa vilevile !!!
Matunzo 02 said: ukija kuonja utabadilika tabia funga sana maombi. Click to expand... Duh wanasema mazingira yana uwezo wa kumbadilisha mtu tabia, na hapa ndio najionea mwenyewe ila naamini nitakuwa vilevile !!!
Alexido jz instagram JF-Expert Member Joined May 5, 2026 Posts 4,686 Reaction score 10,018 Nov 2, 2026 #42 Psalm_23 said: Kuna ile situation tu mkuu unajikuta unawasikiliza basi hapo dopamine inaitikia ka bwana mdogo nako ndio kana simama! Click to expand... Nimekustukia we ni kazinziš¤£
Psalm_23 said: Kuna ile situation tu mkuu unajikuta unawasikiliza basi hapo dopamine inaitikia ka bwana mdogo nako ndio kana simama! Click to expand... Nimekustukia we ni kazinziš¤£
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,760 Reaction score 5,144 Nov 2, 2026 #43 Alexido jz instagram said: Nimekustukia we ni kazinzi Click to expand... Hahahhhhhh wewe wasema mkuu!!!
Alexido jz instagram said: Nimekustukia we ni kazinzi Click to expand... Hahahhhhhh wewe wasema mkuu!!!
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Nov 2, 2026 #44 Psalm_23 said: Duh wanasema mazingira yana uwezo wa kumbadilisha mtu tabia, na hapa ndio najionea mwenyewe ila naamini nitakuwa vilevile !!! Click to expand... ukiwa na misingi unayoisimamia hautabadilika ila kama hujui unasimamia nin utadodoshwa na chochote.
Psalm_23 said: Duh wanasema mazingira yana uwezo wa kumbadilisha mtu tabia, na hapa ndio najionea mwenyewe ila naamini nitakuwa vilevile !!! Click to expand... ukiwa na misingi unayoisimamia hautabadilika ila kama hujui unasimamia nin utadodoshwa na chochote.