Ni mambo madogo madogo ila yanakera sana

Mkali kwa maana ya mzuri au unamuogopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo namba tano inafanyaga hawa babu zangu hapa nyumbani niwage nawapa leso watembee nazo mana wakiwa na mafua tu basi wakipiga chafya ujue kinachofuata unaeza kasirika. πŸ˜‚πŸ˜‚

Mana unakuta katoto kanaduwaa tu na usipokuwa makini basi ujue tishirt ndio itageuka leso.
 
Umechomeka simu usiku mzima uchaji kumbe hukuwasha switch
Kuna siku ilinikuta hii, nimechomeka simu chaji kumbe switch ipo off, nimetoka nikapiga misele weee, nikiwa najua nikirudi nitakuta ishaingiza moto kama 50%, nafika nawasha naona inazima, kucheki switch ipo off..ningekuwa puto ningepasuka kwa hasira siku hiyo.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…