Ni mambo madogo madogo ila yanakera sana

Ni mambo madogo madogo ila yanakera sana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii kitu inakera balaa, mara kadhaa imenikuta.
Nakumbuka kuna siku mpangaji mwenzangu wa kike mkali mkali alinisalimia, ikabidi nimeze povu la dawa ya meno ili nijibu salamu.
So disgusting ila sikuwa na namna. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkali kwa maana ya mzuri au unamuogopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo namba tano inafanyaga hawa babu zangu hapa nyumbani niwage nawapa leso watembee nazo mana wakiwa na mafua tu basi wakipiga chafya ujue kinachofuata unaeza kasirika. 😂😂

Mana unakuta katoto kanaduwaa tu na usipokuwa makini basi ujue tishirt ndio itageuka leso.
 
Umechomeka simu usiku mzima uchaji kumbe hukuwasha switch
Kuna siku ilinikuta hii, nimechomeka simu chaji kumbe switch ipo off, nimetoka nikapiga misele weee, nikiwa najua nikirudi nitakuta ishaingiza moto kama 50%, nafika nawasha naona inazima, kucheki switch ipo off..ningekuwa puto ningepasuka kwa hasira siku hiyo.
 
Hiyo namba tano inafanyaga hawa babu zangu hapa nyumbani niwage nawapa leso watembee nazo mana wakiwa na mafua tu basi wakipiga chafya ujue kinachofuata unaeza kasirika. 😂😂

Mana unakuta katoto kanaduwaa tu na usipokuwa makini basi ujue tishirt ndio itageuka leso.
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom