Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mkali kwa maana ya mzuri au unamuogopa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii kitu inakera balaa, mara kadhaa imenikuta.
Nakumbuka kuna siku mpangaji mwenzangu wa kike mkali mkali alinisalimia, ikabidi nimeze povu la dawa ya meno ili nijibu salamu.
So disgusting ila sikuwa na namna. [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app