bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
- Thread starter
-
- #41
Wacha tuone
Aguero atafia uwanjani leo HAHAHAHAA
Teh teh teh
Hili kombe ngoja achukue city tu,coz hawa kenge wa anfield wanakelele sana. Kigoli cha mane kilivyoingia nusura wanipige na TV.[emoji856][emoji856][emoji856]
Umeona hao jamaaa ni shida
Wanakera sana,cjui ni nyege za 30years without epl trophy zinawawasha balaa.[emoji20][emoji20][emoji20]
Manchester united naona wameamua kupigwa la pili dah! Hii ni laana Babu kaiacha kweli au wameiuza hii mechi kisa wanajua hawaendi kokote [emoji11][emoji11]
Manchester united naona wameamua kupigwa la pili dah! Hii ni laana Babu kaiacha kweli au wameiuza hii mechi kisa wanajua hawaendi kokote [emoji11][emoji11]
Man city watafia uwanjani leo nilimsikiliza Guadiola anasema hii ni Toughest league lakini tutalazimika kufanya maajabu.BHM 1-3 Man City
Mahreeeeeez,kwisha habar
Bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwisha kabisa