Ni Manchester City AU Liverpool leo EPL ?

Ni Manchester City AU Liverpool leo EPL ?

Hili kombe ngoja achukue city tu,coz hawa kenge wa anfield wanakelele sana. Kigoli cha mane kilivyoingia nusura wanipige na TV.🤕🤕🤕
 
Manchester united naona wameamua kupigwa la pili dah! Hii ni laana Babu kaiacha kweli au wameiuza hii mechi kisa wanajua hawaendi kokote 😙😙
 
Wanakamilisha ratiba tu
Manchester united naona wameamua kupigwa la pili dah! Hii ni laana Babu kaiacha kweli au wameiuza hii mechi kisa wanajua hawaendi kokote [emoji11][emoji11]
 
BHM 1-3 Man City
Man city watafia uwanjani leo nilimsikiliza Guadiola anasema hii ni Toughest league lakini tutalazimika kufanya maajabu.

Liverpool wameshaishiwa nguvu huko hawaoni hata haja ya kuongeza kagoli 😝😝
 
Back
Top Bottom