Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

sina shida na hilo yeye aoe atakao ila sikwambii siku akiwa na hela za ziada yan awe ana mkwanja wa ziada umeingia kama faida atataka kutomba tu hilo halina mushkeli subiri siku mambo yaende hovyo mimi ndio napata likizo fupi
Tena kupunguza jam usiende likizo fupi. Nenda mazima kabisa. Mahawuzigeri mtaa mzima wataendelea kutoa huduma. Tena kwa kununuliwa barafu ya 100. Achana na nyie mnaotaka mikwanja ya kuwapelekea wanaume. Sema ya kuhongaaa
 
Siwezi kabisa mi nikikosea namwambia acha na hilo bana ndo imeisha hiyo na nna kauli yangu kwake huwa napenda kumwambia mwanaume hakosei na yeye ndo huwa anamalizia nikisema acha na hilo au yaishe ye husema mwanaume hakosei namalizia naam au umeona!
Hayo ni makosa madogo madogo, sio zile blunder kabisa, yaani utoe boko la kumuumiza mtoto wa watu kisha umwambie mwanaume hakosei huku ni kumnyanyasa sasa.
 
Una pepo mtoto wewe!
 
Tena kupunguza jam usiende likizo fupi. Nenda mazima kabisa. Mahuwuzigeri mtaa mzima wataendelea kutoa huduma. Tena kwa kununuliwa barafu ya 100. Achana na nyie mnaotaka mikwanja ya kuwapelekea wanaume. Sema ya kuhongaaa
mbona imekuuma sana kama unataman uipate ww hio nafas kama unamuonea huruma sana sema nimwambie akuoe
 
Kupika vyakula kwa kuchemsha, haloo huwa nachoka sana,kuna siku nimetoka safari nikaja na viazi mviringo nusu gunia nikiamini hapa itakuwa ni mwendo wa zege tu lkn huwezi amini vile viazi ndo ilikuwa breakfast ikawa kila siku asubuhi anachemsha anavileta hivyohivyo mpaka mzigo ukakata
 
Nd
Ndio uzima huo, sijui wengine lakini ni kawaida kukojoa na ndonga ikawa inadai, japo mara chache inatokea unakojoa unakosa mzuka. Lakini ukikojoa ndonga inakuwa iko hewani inadai.
 
Aisee ila siku ukianza kumpangia au kumpunguzia asije akatafuta mchepuko huko, anakupenda wewe tu ndiyo maana ana hisia kali na wewe , so mpe yote tu kwani si wote mnaenjoy , life is too short🤔
 
mbona imekuuma sana kama unataman uipate ww hio nafas kama unamuonea huruma sana sema nimwambie akuoe
ni kawaida nampa yote ili aridhike angalau aniache hata siku mbili tatu lakini wapi

Kilichokupeleka ni nini? Wewe ulijua unaenda kuosha vyombo?
Kazi yako ndo hiyo. Ukishindwa achia ngazi. Mambo ya wakuoe wewe. Hamna. Ukisikia kuchakatwa ndo huko,hata ichanike poa tu.
 
Unataka kauhuru flani hivi, ukishuka Airport uwe huru kuchagua aina ya usafiri unataka, ila shukuru kwa kumpata wa namna hiyo, he cares! Binafsi pia nampokea, ila kwa kuombwa, yaani siwezi kwenda kwa Magufuli bila yeye kuniomba.
Tatizo langu mi na yeye ni lazima achelewe kuja kunipokea. Dakika 10,15, 20 mi lazima nisubiri. Abiria wote niloshuka nao wanakuwa wamesepa bado mimi tu.

Nilishammind sana anajichekesha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…