Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Aisee hii mada inakuhusu wewe wengine tunachangamsha baraza tu kumbe, pole sana nawahurumia watoto tu
 
Kwenye Kutoa Details kwenye Kila kitu Mzee Vumilia tu,, Ndiyo walivyoumbwaa USICHUKIE
 
Kama ni muumini wa hawa matapeli wanaojiita mitume pole sana huyo kumbadili sio rahisi labda uamue kuwa mbabe flani humo ndani kusikalike kama ataenda kwa hao matapeli la sivyo kuna jingine

Exactly ni hao matapeli!! Sijui wanawapa dawa gani hawa viumbe, hasikii haambiliki!!

Nami nimegundua hilo thus why nikaamua kuwa close na watoto yeye awe kivyake!!
 
Hahah tulia upelekewe moto mama, ndio mkataba wa ndoa huo 🤣
 

Mke mwema uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…