Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Na bado unalalamika?
 
Kila unapo mwambia asije kukupokea yeye hasikii..
Yaani anajifanya kiziwi sio
 
Hapa kwenye simu niko pamoja nae,muwe mnapokea simu kwa wakati
 
Hii kitu inatutia zambini wengi aisee

Binafsi ningempata mke ambaye anapenda kuwekana kila siku maisha kwangu yangenyooka sanah hata ningeweza kusave pesa
 
Nakubaliana nawewe kuwa Kila mtu ana sehemu aliyozoea kubinyia lakini nakataa kuwa Kuna sehemu special ya kubinyia na kuwa Kuna uhusiano Kati ya sehemu ya kubinyia na tabia ya mtu
Mkuu kila jambo unalolifanya lina uhusiano wa moja kwa moja na tabia yako sababu hiyo tabia yako ndio inakufanya ufanye ilo jambo.

Sasa tabia yako kwenye yale mambo ya kila siku ndio rahisi zaidi kuyaangalia na kuijua tabia yako. Mfano zoezi zima la kupiga mswaki, kuoga, kula, kutembea, kulala, kuongea n.k haya matendo ya kila siku moja kwa moja ndio tabia yako.

Si umewahi kusikia watu wakisema magonjwa ya tabia mf. Sukari na presha kwanini wanayaita magonjwa ya tabia?, ni kwasababu yanachangiwa na mambo unayoyafanya mara kwa mara.

Hiyo ya kuminya dawa ya meno ni mfano tu wa matendo unayofanya kila siku.

Alafu tube ya dawa ya meno ina sehemu sahihi yakuiminya ambayo ni chini na unatakiwa kuikunja kabla hujaifunga. Soma maelekezo ya namna ya kudispose off iyo tube ya dawa utaona ilo swala. (Kila siku tunajifunza).

Hiyo ipo hata kwenye baadhi ya chupa za maji ya kunywa au juisi, unatakiwa kuiponda then ndio uifunge kifuniko.
 
Mambo ya kula pamoja wote nayapenda, home tangu nakua, wote tunakaa mezani tunapakua msosi pamoja awe mfanyakazi awe nani wote na Kwa wakati mmoja hakuna kusema sijui Mimi ntakula jikoni .
Unakulaje meza moja na wanawake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…