Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Kwakweli mwanaume wa hivyo kama hujapigwa matukio huko nyuma ndo waweza muona kero ila akuu tunaenjoy, wivu unaendana na uaminifu/mapenzi kwa kiasi fulani moyo unaridhika kuwa hapa napendwa na si ndo tunavyotaka wanawake
Unainjoy sababu umekomaa vya kutosha, ila mtoto wa 18-24 yrs age hapo ataona anabanwa banwa. Utu uxima dawa ndio maana napenda mahusiano na madada wakubwa waliomaliza mihangaiko. 🤣🤣🤣
 
Wanafanana tabia tu sio mmoja 😂😂usinitoe roho mie,kuna siku alinichosha kulalamika na kunung’unika nikamvuta kichwa nikamuwekea nyonyo mdomoni anyonye Halaf nikawa nambembeleza kama mtoto huku namtikisa alale akalala 😂😂😂😂 last born kibokooo
Hahah burudani ilioje unanyonya na utu uzima huu 🤣 nikuhakikishie tu kila mwaka itakuwa safari ya Leba
 
Sidhani nimjulishe naenda wapi ye tushazoeana bana apige simu mara 2 kwa siku asubuhi na usiku saa 2 ndo nimjulishe nilipo tena akiuliza naweza mwambia nipo Dar asubuhi jioni dodoma au ikikata anajua huyu hayupo nchini ahamie whatsapp voice call na video call ni mie tu ndo napaswa kumpigia sio yeye
Labda kama unafanya kazi pale tai mkuu kwamba kuna wengine wanajua ulipo incase of anything.
 
Mkuu,
Naomba usijibizane naye huyo tafadhali, kuna namna he is not okay upstairs, nimejaribu kusoma baadhi ya comments zake nimeshangaa sana..!!

baada ya kusoma comments nimekuja gundua kuna watu afya ya akili kwao ni tatizo kubwa sana..!!

Mtu anaandika kitu mpaka unajiuliza na huyu ni Baba na Mume wa mtu pahala kweli..!!?

Maana ni upupu mwanzo - mwisho, Mungu tubarikie na tutunzie hawa wanaume wetu wenye akili timamu waliobaki..!!🙏
Nakuunga mkono 100%
 
Unainjoy sababu umekomaa vya kutosha, ila mtoto wa 18-24 yrs age hapo ataona anabanwa banwa. Utu uxima dawa ndio maana napenda mahusiano na madada wakubwa waliomaliza mihangaiko. 🤣🤣🤣
😂😂Mbona mihangaikooo,, kiukweli age kubwa wengi hawana fujo, si unaona dejane anamnyoyesha mtu mpaka anasinzia nimepata cha kuigilizia
 
Raha ya ndoa ni kupeana challenges! Ili mradi msipigane tu.
Kwa kifupi hakuna ndoa isiyokuwa na changamoto! Katika ndoa mnakutana kila mtu amelelewa tofauti.
 
😂😂Mbona mihangaikooo,, kiukweli age kubwa wengi hawana fujo, si unaona dejane anamnyoyesha mtu mpaka anasinzia nimepata cha kuigilizia
Hahahahahah ndio ukubwa dawa huo. Nyege kunyegezana bana
 
Back
Top Bottom