Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Unakulaje meza moja na wanawake ?
Acha chocolate wewe.
Aisee wangu amezidi upole, yaani ni mpole sana yule mwanamke halafu amenipenda sana mpaka Kuna kipindi sukari ilimpanda kisa kaona sms ya mdada akiniambia (Nimekumic java)..

Tatizo lake kubwa ni wivu,na kutojiamini.
Huyo ni kama wangu. Yaani ni wivu kwenda mbele na huu uzee wetu.
 
kitambo nilikuwaga na mmoja hawa wanajifanya hapendi kutiana yani mnaweza kukaa hata weeks hata miezi yeye akugusi hadi wewe umshtue napo unakuta ukimgusa mashauzi kibao yani kifupi ni km hataki tu, weeh!

nikaona isiwe taabu nikatafuta mtu mwingine nikawa namaliza mambo yangu huko huko tena ile unakamua haswa unahakikisha kila angle imeguswa ndo unajirudisha hom tartibu macho makavu mwenyewe unavuta shuka unageukia ukutani hadi kunakucha!

baada ya miezi kadhaa bidada kaona haguswi popote hasumbuliwi tena akili zikarudi akaona hata hii haiwezekani lazma huyu mtu kuna chimbo anamalizia mambo yake ama la biashara imeshaisha hapa.

baada ya hapo ndo tukaanza kuongea lugha moja. yeye ndo akawa ananisumbua hlf mm ndo nadengua kishenzi mamaeeh!


kiukweli hizi ndoa za mke mmoja ni makosa makubwa sana kuruhusiwa. zinawapa viburi sana hawa wanawake na kuleta masaibu mengi kwa wababa.

Mi huwa nasema ni umaskini na mambo ya imani ila mke 1 hafai kabisa hatoshei kabisa kwa mme 1
 
Wee kuna wanawake huko mbeya ukitaka kumpiga anakimbilia chumbani ukifuata anajirusha kwa bed naked harafu analala kwa mgongo na miguu anaiinua kwa juu na kuisambaza mkao wa saa 3:15. Utapiga wapi?[emoji23][emoji23]

Haaaa siwezi nikichukia au kukasirika kwa Jambo flani hata huwezi nishawishi kwa cho chote zaidi ya nilichopanga kukufanyia
 
hahahahah
huyu akikojoa kwanza ngoma hailali nishapeleleza sana huenda kuna midawa ananinywea lakini wala sema n mtu wa mazoezi ila huo ndio udhaifu yan mengine kwangu ya kawaida sana kama akibadili nguo chumban anatupa tu taulo kule boxer hayo yote kwangu s kitu ila ngoma hapo kitandani
kashaathirika na misemo ya kihuni kuwa mke lazma umzabue haswaa🤣🤣🤣
 
Vumilia huenda atakata moto mkuu,
Hata mie napemda kunjunjana kuliko kula, ukijilegeza nakunjunja tu.. 😂🤣

Lakini sio hiyo ya leo 3, kesho 3, keshokutwa 3, mtondogoo 3. 😂😂
Hahahah huyo jamaa ni superman. Mwanamke wako unamgongaje vitatu kila siku 🤣🤣🤣
 
Kupika vyakula kwa kuchemsha, haloo huwa nachoka sana,kuna siku nimetoka safari nikaja na viazi mviringo nusu gunia nikiamini hapa itakuwa ni mwendo wa zege tu lkn huwezi amini vile viazi ndo ilikuwa breakfast ikawa kila siku asubuhi anachemsha anavileta hivyohivyo mpaka mzigo ukakata
vya kuchemsha ndio afya sio zege linaua mtambo,
 
Aisee ila siku ukianza kumpangia au kumpunguzia asije akatafuta mchepuko huko, anakupenda wewe tu ndiyo maana ana hisia kali na wewe , so mpe yote tu kwani si wote mnaenjoy , life is too short🤔
Mwenzio kachoka kupigwa dose ya 3x3 kila siku 🤣🤣🤣! Ingekuwa wewe ungeweza mpa mtu vitatu kila siku?
 
Wife wangu ni mvivu sana wa mizagamuo aisee na round hii nimechoka kubabake, yani anasababu mlima ndio ni mtumishi kaajiriwa na yupo bize lakini ikifika muda nianze kutaka kuleta maudundi yangu naishia kukasirika!!! Yeye akilala anakumbatiana na mtoto wake imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi sasa imebidi nipate kademu nje lakini ndo sina mizuka nako kabisaa
Hili tatizo liko kwa wengi kumbe 🤣yani mwanamke akiwa sio mtu wa kupenda mizagamuo inakera sana sema advantage inakuwa kwamba sio rahisi yeye kuchepuka kama wale wapenda ngono.
 
Back
Top Bottom