Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mfumo unaboreshwa mwezi mzima!? Na bado haijulikani ni hadi lini....Yaani hii inshu ni karaha Sana yani . Ukiuliza eti mfumo yaani mpka kero
Kukata pesa mfumo hauna shida....haya mambo haya!!!Hata bodi ya mikopo wameacha kutoa statement, eti zimesitishwa. Watu tunaendelea kukatwa wakati tulishamaliza deni lao
Wamalize, maisha yaendelee....Itakua kuna kitu wanachunguza
Unawaza kutumika tu? Kima....Wape mfumo wako wautumie
Mfumo wa chakula au?Wape mfumo wako wautumie
Sawa dadaWamalize, maisha yaendelee....
Wanachunguza au wanatengeneza mazingira ya ulaji maana kiranja mkuu kapumzika.Itakua kuna kitu wanachunguza
PM yupo hacheki naoWanachunguza au wanatengeneza mazingira ya ulaji maana kiranja mkuu kapumzika.