Ni marekebisho gani hayo ya mfumo yanayoendelea mwezi mzima?

Ni marekebisho gani hayo ya mfumo yanayoendelea mwezi mzima?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Habari za jioni wataalamu.....

Ni mwezi sasa mambo ya ankra yamekwama....maafisa utumishi wanasema hawajui, wengine wanasema jibu kutoka Dodoma ni "mfumo umefungwa kwa ajili ya maboresho".

Maafisa wa bank hawatoi mikopo kwasababu makato hayawezi kuingizwa, mfumo umefungwa, jamani mwezi marekebisho tu???

Kunani huko jikoni??
 
Yaani hii inshu ni karaha Sana yani . Ukiuliza eti mfumo yaani mpka kero
 
Hata bodi ya mikopo wameacha kutoa statement, eti zimesitishwa. Watu tunaendelea kukatwa wakati tulishamaliza deni lao
 
Hata bodi ya mikopo wameacha kutoa statement, eti zimesitishwa. Watu tunaendelea kukatwa wakati tulishamaliza deni lao
Kukata pesa mfumo hauna shida....haya mambo haya!!!
 
Walijificha kwenye uhakiki,sasa wamehamia kwenye mfumo.
Serikali dhalimu utaitambua kirahisi
 
Back
Top Bottom