Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Jibu swali bosi, ulicho andika ni story kama zile za motivation speakerMashine yoyote inaweza kuingiza hela au kutoingiza, kinachotofautisha ni Brand ya Biashara yako, Business plan iliyonyooka, Mtaji wa uendeshaji na usimamizi ulio bora...
Acha ujuaji we kilazaJibu swali bosi, ulicho andika ni story kama zile za motivation speaker
We mzee banaAcha ujuaji we kilaza
Ahsante, Vp kuhusu machine za kukata mawwe kama yale ya tanga stone?1. Mashine ya juice ya miwa (1.5M)
2. Mashine ya kuosha magari na boda (1M)
3. Compressor na kuziba pancha
4. Kuchomelea (1m)
5. Chain saw (1M)
6. Mashine za kuranda mbao (1M)
7. Mashine za kuoka mikate (1M)
8. Mashine za kutengeneza sabuni (5M)
9. Mashine za kutengeneza soseji (1M)
Zaweza kuwa bei kubwa kuliko budget yako hiyoAhsante, Vp kuhusu machine za kukata mawwe kama yale ya tanga stone?
Ahsante mkuu nilipo kuna ulimaji wa mahindi.Sijui upo wapi mkuu!!? Ila huku kwetu Rukwa zile mashine za kupukuchua mahindi Zinalipa kwakweli..... Naona kina Kapufi na Mzindakaya Paul wanapiga hela sana
Gharama yake ni 800k mpaka 1200kAhsante mkuu nilipo kuna ulimaji wa mahindi.
Bei yake inaweza kucheza ngapi mkuu
Natumaini huwa zipo za umeme na mafuta right?Mashine ya kufyatua tofali pamoja na mixer yake. Best side hustle ever.
Ningetaja lakini haitasaidia mfano kama ndio una million 5 za kununua mashine za kununua tofali, ili hela yake uione lazima atleast uwe na canters za kubeba tofali watu wanataka free delivery ukitegemea gari za kukodi hutatoboa. Nikikwambia mashine za kunyoa ufungue Barbershop unakuta hizo mashine ni kama 5% tu ya vitu vinavyohitajika, za miwa unahitaji premium location kwenye mzunguko mkubwa wa watu na hapo inabidi umtoe mtu au bonge la kishika uchumba, bila ya kujua plan yako ni ngumu kujua tukusaidie nini, na jee unataka kuziendesha mwenyewe au utaajiri watu na wewe uendelee na majukumu yako huko halmashauri maana utakuja kuuza scraper tu kama hakutakua na usimamizi wa karibu...kama vipi jiunge na watanzania wenzako kwenye mashine ambayo return yake ina uhakika sana yani bodaboda ukiwa na nidhamu majanga yanaweza kukuepuka na kufikisha malengo yako.Jibu swali bosi, ulicho andika ni story kama zile za motivation speaker
🔥🔥🔥🫡Ningetaja lakini haitasaidia mfano kama ndio una million 5 za kununua mashine za kununua tofali, ili hela yake uione lazima atleast uwe na canters za kubeba tofali watu wanataka free delivery ukitegemea gari za kukodi hutatoboa. Nikikwambia mashine za kunyoa ufungue Barbershop unakuta hizo mashine ni kama 5% tu ya vitu vinavyohitajika, za miwa unahitaji premium location kwenye mzunguko mkubwa wa watu na hapo inabidi umtoe mtu au bonge la kishika uchumba, bila ya kujua plan yako ni ngumu kujua tukusaidie nini, na jee unataka kuziendesha mwenyewe au utaajiri watu na wewe uendelee na majukumu yako huko halmashauri maana utakuja kuuza scraper tu kama hakutakua na usimamizi wa karibu...kama vipi jiunge na watanzania wenzako kwenye mashine ambayo return yake ina uhakika sana yani bodaboda ukiwa na nidhamu majanga yanaweza kukuepuka na kufikisha malengo yako.