Ni mashine gani bei kati ya 1m to 5m ukinunua zinaweza kukuingizia kipato kizuri kama side hustle ?

Ni mashine gani bei kati ya 1m to 5m ukinunua zinaweza kukuingizia kipato kizuri kama side hustle ?

1. Mashine ya juice ya miwa (1.5M)
2. Mashine ya kuosha magari na boda (1M)
3. Compressor na kuziba pancha
4. Kuchomelea (1m)
5. Chain saw (1M)
6. Mashine za kuranda mbao (1M)
7. Mashine za kuoka mikate (1M)
8. Mashine za kutengeneza sabuni (5M)
9. Mashine za kutengeneza soseji (1M)
Machine ya kuoka mikate ni mil.1? Ikoje hivyo?
 
Back
Top Bottom