Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Watakavyo uharibu au π€£Uzi mzuri sana ngoja tusubiri wadau.
Chainsaw Ila kwa migodini ya wachimbaji wadogowadogo hizi gold rushNje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Hapa mkuu tupe SoMo, hizo tent niza ukubwa gani na ukizihitaji Bei yake ipoje.Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Tafuta machine ya kuonyesha magonjwa ya gari diagnostic mashine ni computer ndogo inapima magari yoteNje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.